
SEMINA YA UHUSIANO:
Usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U).Mada Kuu itakuwa: KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA MAPENZI. Itafanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. KWA MCHANGO-Shs.5000/= Kwa maelezo zaidi na kufanya booking, piga simu au tuma SMS kwenda...