Jumapili moja baada ya kula chakula cha usiku, baba
mzazi wa kijana Nelson ambaye wengi walipenda kukatisha jina lake na kumwita
Nelly, Mzee Reli ya Uhuru akiwa ameketi sebuleni na kijana wake huyo
aliyehitimu kidato cha nne, alimweleza kwamba kwa wakati ule hakuwa na fedha za
kuweza kumuendeleza kielimu hivyo ajichanganye mjini kujitafutia maisha.
Wakati mzee huyo aliyepewa jina la utani la Reli ya
Uhuru kufuatia kuwa mmoja wa watu waliojenga reli hiyo, akimweleza hivyo, mkewe
alikuwa akimsikiliza ambapo alimuunga mkono mumewe kwani hali yao kiuchumi
aliielewa vizuri.
“Nelly, ni kweli kabisa kwa hivi sasa baba yako hana
fedha na unaona jinsi familia yetu ilivyo kubwa na wote tunamtegemea yeye, mimi
nakubaliana na ushauri wake wa wewe kujichanganya mjini kufanya vibarua ambavyo
vitakuwezesha kupata riziki yako na yetu,” mama huyo alimwambia kijana wake.
Nelly kijana ambaye tangu udogo wake ni handsome boy
kiasi cha kuwavutia wasichana wengi wakiwemo watu wazima, aliposikia kauli hiyo
ya wazazi wake aliinamisha kichwa na kuanza kufikiria hatima ya maisha yake
ingekuwaje.
“Hivi baba, huwezi kuuza lile shamba la Kimanzichana ili
fedha zitakazopatikana niweze kuendelea na masomo nitimize ndoto zangu za kuwa
mhasibu?” Nelly alimwuliza baba yake.
Baba yake alimfahamisha kwamba baada ya mambo yake
kuanza kumwendea kombo, aliuza nusu ya shamba hilo na nusu iliyobaki asingeweza
kuiuza kwani alipanga ije iwasaidie wadogo zake ambao walikuwa wadogo.
Kwa kuwa Nelly alikuwa akielewa ukubwa wa familia yao na
jinsi mzazi wake alivyokuwa akihangaika kuitunza, akawa hana jinsi zaidi ya kuingia mitaani kusaka
kibarua chochote ambacho kingemuwezesha kupata fedha.
“Oke baba na mama, kwa kuwa naielewa hali halisi ya
maisha yetu hapa nyumbani, nitazungumza na fundi Yassin ili niongozane naye
kwenye shughuli zake za ujenzi,” Nelly aliwaambia wazazi wake.
Alipotoa kauli hiyo, baba yake licha ya kujiuliza moyoni
kama kweli Nelly aliyemlea kimayai angeweza kufanya kazi ya uwashi lakini
hakutaka kumuonesha wasiwasi wake, akamwambia sawa.
Baada ya mazungumzo hayo, Nelly aliwaaga wazazi wake na
kwenda kwenye chumba alichokuwa akilala na wadogo zake wawili kilichokuwa uani,
akawa anatafakari ugumu wa maisha uliokuwa ukiwakabili.
Chumbani kwa wazazi wake, baba na mama yake walimjadili
sana kijana wao kama angeweza kufanya kazi ya ujenzi lakini baadaye
walikubaliana wasubiri kuona matokeo.
Alfajiri na mapema Nelly alikwenda kumgongea fundi
Yassin ambaye alikuwa fundi washi aliyekuwa akisifika sana kwa umahiri wake wa
kujenga nyumba maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar.
“Niambie Nelly, naona leo umenivamia alfajiri yote hii,
umekwama nini?” fundi Yassin aliyekuwa akimpa fedha Nelly siku moja moja
alipokwama alimwuliza.
“Ukiacha kukwama, leo nataka tuongozane huko site
unakokwenda kujenga japo nikakusaidie kazi yoyote maana mtoto wa kiume
kumtegemea baba kila kitu haipendezi,” Nelly alimwambia fundi Yassin.
“Yaani Nelly na huo usharobaro wako unataka kwenda
kufanya kazi ya kukoroga zege au kuranda mbao, utaweza kweli?” fundi Yassin
alimwuliza.
SEHEMU-2
Kufuatia kuambiwa hivyo, kijana huyo mweupe, mrefu wa
wastani na mwenye vidimponsi vinavyoonekana kila akiongea au kucheka alimjibu
fundi Yassin kwamba kwa kuwa alikuwa mtoto wa kiume alikuwa tayari kufanya kazi
yoyote.
Licha ya Nelly kupewa ushauri wa kutafuta kazi yoyote ya
kufanya, aliumia sana kufuatia bro mmoja ambaye ni mambo safi kumchukua demu
wake Careen kwa vile hakuwa na hela.
Msichana huyo aliyeingizwa kwenye ulimwengu wa kimapenzi
na Nelly, alikuwa akimpenda sana Nelly lakini alishindwa kudumu naye kwa sababu
kila alipohitaji sapoti ya fedha kutoka kwa mpenzi wake huyo ilikuwa zii.
Kila Nelly alipokuwa akikumbuka tukio hilo la kuporwa
demu wake na yule bro anayemiliki kampuni ya kutoa mizigo Bandarini aliumia
sana, kwa sehemu ishu hiyo ilimfanya akubaliane na ushauri wa baba yake wa
kutafuta kibarua chochote cha kufanya.
“Ila Nelly kwa jinsi ninavyokuona sijui kama utaweza
kufanya kazi ngumu, kwa kuwa umeamua basi vizuri jiandae ili kesho twende
pamoja,” fundi Yassin alimwambia Nelly aliyekuwa akivaa miwani sababu ya
kusumbuliwa na macho kwa mbali.
“Fundi Yassin, haina haja ya kusubiri kesho, hivi
unavyoniona nipo full, labda niende nikachukue nguo za kufanyia kazi, nimechoka
kukaa nyumbani,” Nelly alimwambia fundi Yassin aliyeishia kucheka.
“Haya bwana, nenda kachukue nguo hizo ili nami nijiandae
kisha tuanze safari, ukija nitakwambia tunakokwenda,” fundi Yassin alimwambia
Nelly.
Baada ya kuambiwa hivyo, kijana huyo wa Kisukuma alikwenda
kwao akachukuwa shati kuukuu, suruali ya zamani na raba ambazo hakuwa akizivaa
kwa sababu zilianza kuchoka akaziweka kwenye begi.
Wakati Nelly ambaye
nimeshakwambia ni handsome boy haswa akijiandaa, nyumbani kwa fundi Yassin mkewe alimwuliza
alikuwa akizungumza na nani.
Fundi Yassin alimsimulia kila kitu mkewe, ambaye
hakuamini kama kweli Nelly aliyekuwa akimfahamu kwa usmati wake angeweza
kufanya kazi ya ujenzi aliyokuwa akiifanya mumewe.
“Yaani baba Tatu, Nelly huyu sharobaro mvaa miwani ataweza
kweli kubeba zege, matofali, kuchota maji au kubeba mbao?” mkewe Yassin
alimwuliza mumewe.
“Nami nimemuuliza hivyo kaniambia ataweza, wewe ngoja
niende naye halafu tukirudi ndiyo nitakueleza kitakachojiri huko,” fundi Yassin
alimwambia mkewe, wakacheka.
Wakati fundi Yassin akizungumza na mkewe, nyumbani kwa
akina Nelly, baba yake alipomuona kijana wake kabeba begi muda ule wa alfajiri
alihisi huenda alikuwa akitoroka kufuatia kumwambia aanze kujitegemea.
“Nelly mbona na begi alfajiri yote hii, unakwenda wapi?”
mzee huyo alimwuliza kijana wake.
Baada mama Nelly kuchangamshwa damu asubuhi ile
alimshukuru mumewe, akiwa anachekacheka aliamka na kwenda kuandaa maji ya
kuoga, wakaoga pamoja kisha alimwandali kifungua kinywa.
Baba Nelly alipomaliza kunywa chai aliondoka kuelekea
kwenye pilika za kutafuta riziki, akiwa njiani akawa anamtafakari Nelly
aliyemweleza anakwenda kumsaidia kazi fundi Yassim.
“Kama ataweza nitasema kweli amekuwa lakini kwa jinsi
ninavyomjua atakapotoka huko ataniambia hatakwenda tena,” mzee huyo aliwaza.
Nelly akiwa na begi lake alipofika nyumbani kwa fundi Yassin,
alimkuta akiwa anamsubiri. Hawakupoteza muda, fundi huyo aliamuga mkewe kisha
alichukuwa zana zake za kazi na kuanza safari ya kwenda site.
Kwa kuwa bado ilikuwa ni alfajiri walipofika kituo cha
daladala lilifika DCM la Mwenge wakapanda, kwa bahati walikaa siti moja.
Wakiwa wanaendelea na safari fundi Yassin ambaye mpaka
muda huo alikuwa aamini kama kweli Nelly aliyekuwa akimfahamu vizuri kwa
kupenda mambo ya usharobaro aliamua kwenda kufanya kazi za ujenzi.
“Nelly hivi ni kweli umeamua kwa dhati kufanya kazi ngumu ninazofanya?” fundi Yassin
alimwuliza .
“Fundi bwana! Sasa kama wewe unaweza mimi nitashindwaje?
Mimi mtoto wa kiume bro!” Nelly alimwambia fundi Yassin aliyeishia kucheka.
Katika daladala walilopanda, kiti cha kushoto alikaa
kaka mmoja upande wa dirishani na kufuatia demu mmoja mkali ambaye alfajiri
hiyo alikuwa akiangalia mambo ya dunia katika simu yake ya kisasa ‘Smartphone.’
Wakati msichana huyo akiwa bize na simu yake, Nelly
alikuwa akimtupia macho kwa chati na kumsifia moyoni kwamba kweli Mungu alijua
kumuumba na kuishia kusema kama alikuwa ana boyfriend wake basi alikuwa akila
vinono.
Hata hivyo, Nelly ambaye alikuwa akiwapenda watoto
wazuri alipanga kama demu huyo atashukia Mwenge amuombe namba yake, alipanga
kujaribu tu zali la mentali.
DCM walilopanda lilipofika Mwananyamala Hospitali, Yule
dada mkali aliinuka moyo wa Nelly ulipiga pa kwani alijua mahesabu yake ya
kuomba namba yalifeli, akajisemea moyoni; kudadeki.’
Wakati Nelly akiwa katika wakati huo mgumu, alimuona
Yule kaka aliyekaa upande dirishani na yule msichana mkali akasogea dirishani,
moyo wa Nelly ukajaa furaha.
“Vipi Nelly naona upo mbali, unawaza kazi za huko site
nini?” fundi Yassin alimshtua Nelly ambaye mawazo yake yalikuwa kwa Yule demu.
“Hapana fundi, mambo mengi tu kichwani si unajua hali
ilivyo ngumu siku hizi!” Nelly alimwambia fundi Yassin.
Kwa kuwa muda huo wa hakukuwa na jamu, kufumba na
kufumbua walijikuta wamefika Makumbusho abiria wakaanza kuteremka kutoka
garini, kwenye siti ya akina Nelly alianza yeye, upande wa kushoto Yule demu,
Kufuatia zana za kazi alizokuwa nazo, fundi Yassin
ilibidi watu wote washuke ili asiwabughudhi, Nelly na Yule msichana wakiwa
chini, kijana huyo handsome boy aliamua kumsalimia na kumsifia kwa jinsi
alivyojaaliwa uzuri na alivyopendeza.
Kama ambavyo nimekuwa nisema mara kwa mara kwamba kama
kuna mtu hapa duniani akisifiwa huwa hafurahi ujue ana matatizo, Yule dada
alimshukuru Nelly na kuachia tabasamu pana.
SEHEMU- 3
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly
alipomsalimia yule dada waliyepanda kwenye gari moja na kumsifia jinsi
alivyokuwa mzuri na alivyopendeza, ambapo dada huyo alimshukuru na kuporomosha
tabasamu pana.
Baada ya dada huyo kuachia tabasamu, Nelly
hakumuangusha, alimshukuru naye akaachia tabasamu pana vilevile mtoto wa kike
akaziona dimponsi zake na kubaini Nelly
alikuwa handsome boy.
“Huyu kaka nilikuwa sijamwangalia vizuri, kumbe ni
handsome boy namna hii, yaani alivyotabasamu dimponsi zake zimempendeza,” yule
dada akajisemea moyoni.
Kama vile Nelly alikuwa akijua alichokuwa akikiwaza yule
mrembo, akajisemea moyoni kwamba ‘kama unampata mtoto mzuri kama huyu… mbona
dunia utaiona tamu!’
Kwa kuwa Nelly ambaye kichwa chake kushika vitu kilikuwa
kama kompyuta, fasta alimuomba yule dada amtajie namba yake ya simu, kwa kuwa
Nelly hakuwa na simu yule dada akamwuliza kama angeweza kuikariri.
“Hiyo mbona kazi ndogo sana, kichwa changu kwa kukariri
ndiyo chenyewe,” Nellya akamwambi.
Haya, sifuri, saba, moja, mbili, Sabini, sabini na sita
mwisho thelathini, Nelly aliikariri nyema namba hiyo, alipomuuliza jina
akamwambia akimpigia au kumtumia ujumbe atamtajia.
Wakati Nelly anamaliza kuzungumza na yule binti mkali,
fundi Yassin aliwasikia akaishia kutabasamu na kujisemea moyoni kwamba; “Hawa
vijana wa siku hizi wana mambo mengi, kwa muda mfupi tayari amezoeana na
mrembo!”
Yule msichana akiwa kama alikuwa akisubiri kuambiwa
jambo na Nelly, fundi Yassin akamwita Nelly na kumwambia auchukue ule mfuko
uliokuwa na chepe na vifaa vingine vya kujengea.
Kuhofia kupata aibu ya kuonekana na yule mrembo kama alikuwa
fundi washi licha ya kuonekana kijana wa kisasa, Nelly alijifanya hakumsikia na
kumuaga yule mrembo.
“Poa, tutawasiliana si unajua mida ya kazi hii!” yule
msichana ambaye hakuelewa chochote baina ya Nelly na fundi Yassin alimwambia
Nelly ambaye naye alimjibu poa.
“Ila wewe dogo unatisha kama moto wa gesi, mara hii
umempata mrembo, kweli sikuwezi,” fundi Yassin alimwambia Nelly.
“Kawaida tu bro, sisi vijana unapomuona mtoto mzuri kama
yule siyo vyema kumuacha bila kumsalimia na kumsifia, si hata wewe umemuona
alivyoumbika?” Nelly alimwambia fundi Yassin na kutabasamu.
Fundi Yassin ambaye licha ya kwamba umri wake ulikwenda
lakini naye alikuwa mzoefu wa mambo ya mjini, akaishia kucheka na kusema haya
bwana!
Maongezi hayo yalijiri wakati fundi Yassin na Nelly
wakisubiri basi la kwenda Tegeta Kibaoni, haukupita muda mrefu lilifika
wakapanda ambapo fundi aliuweka mfuko wa zana zake za kazi nyuma ya kiti cha
dereva, kama ilivyokuwa awali pia waliketi siti moja.
Wakati safari ikiendelea mtaalam Nelly ambaye kichwa
chake kilikuwa kama kompyuta akaanza kuzitaja zile namba za yule mrembo
kimoyomoyo, sifuri, saba, moja, mbili,
Sabini, sabini na sita, thelathini na kuishia kutabasamu kwani alikuwa ana
uhakika hakukosea.
“Mwenzangu vipi mbona unatabasamu?” fundi Yassin
alimwuliza Nelly.
“Kanifurahisha huyo kondakta kwa staili yake ya Kata K,
yaani ukivuta kidogo hiyo suruali atabaki na boksa tu!” Nelly alimchomekea
fundi Yassin wakati si kweli alifurahishwa na jambo hilo.
“Huo si ndiyo uvaaji wenu vijana wa karne hii, huwa
nashindwa kuelewa, hivi kijana huwezi kuvaa vizuri ukaonekana wa kileo mpaka
uoneshe nguo yako ya ndani?” fundi Yassin alimwuliza Nelly.
Nelly aliishia kucheka na kumwambia hayo ni mambo ya
vijana japo yeye hakuwa na tabia hiyo, ambapo fundi Yassin alikubaliana na
kusema hata yeye (Nelly) alikuwa na ugonjwa wake.
“Mh fundi, ugonjwa gani?” Nelly alimwuliza fundi Yassin
huku akicheka.
SEHEMU-4
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale fundi
Yassin na Nelly walipokuwa wapo ndani ya daladala wakielekea site ambapo fundi
huyo alimwambia alikuwa akielewa ugonjwa wake ndipo kijana huyo aliyejua
alichokimaanisha fundi akaangua kicheko na kusababisha abiria wengine
wamwangalie.
Je, kilifuatia nini? Songa mbele…
Baada ya Nelly kubaini watu walimshangaa alivyoangua
kicheko akamwambia fundi Yassin kwamba wayaache mazungumzo yale kwanza hadi
watakapofika site.
“Haya tubadili mada, lakini dogo leo nimekuvulia kofia
kwa jinsi ulivyomzoea yule mrembo,” fundi Yassin alimwambia Nelly.
“Fundi bwana, mbona mambo ya kawaida tu kwa sisi
vijana!” Nelly alimwambia fundi wake, wakacheka.
Basi walilopanda lilipofika kituo cha Africana Mbezi
waliteremka kama abiria sita wakapanda wengine wakiwemo wasichana wawili wazuri
naliovaa kwa mpangilio.
Mmoja wa wasichana hao alikaa siti iliyokuwa mbele ya
akina Nelly na mwingine ambaye alikuwa mweupe, mwenye shepu ya kimisi alikaa
siti ya kushoto iliyokaribiana na Nelly.
“Dogo umeyaona mambo yako?” fundi Yassin alimtania
Nelly.
“He bwana siyo mchezo, yaani nimeamiani mida hii ya
asubuhi kwenye madaladala kunakuwa na watoto wakali aisee!” Nelly alimwambia
fundi Yassin kwa sauti ya chini, wakacheka.
Wakati akitoa kauli hiyo kumbe yule msichana aliyekuwa
amekaa siti ya kushoto alimsikia Nelly, akaachia tabasamu lililoona na kijana
huyo mwenye dimponsi.
Nelly alimbinya pajani fundi Yassin na kumweleza yule
msichana aliwasikia, ambapo fundi huyo akacheka na kumsifia kwamba kweli
alikuwa ma masikio shapu!
Basi lilipofika njia panda ya kwenda Bahari Beach, wale
wasichana walishuka kitendoa mabcho hakikumpendeza Nelly akaishia kusikitika
moyoni.
“Da! Watoto wazuri kumbe wanashukia hapa,” Nelly aliwaza
lakini hakuweza kuwazuia na kubaki kusonya ndani kwa ndani.
Kama vile fundi Yassin alijua Nelly hakupenda wale watoto
wazuri washuke, akamtania kwamba licha ya kujifanya mjanja hakuweza hata kuwapa
hi wale waremboa.
“Yaani bro wewe acha tu kama umejua nilivyoumia warembo
kushuka pale, kama wangeshukia Tegeta ndiyo ungejua mimi ndiyo Nelson Mzamba
kijana wa Kisukuma,” Nelly alimwambia fundi Yassin wakacheka.
Kutokana na kunogewa na stori, walishtukia basi
limesimama Tegeta waliteremka ambapo fundi Yassin alichukuwa mfuko uliokuwa na zana
za kazi na kumfahamisha Nelly kwamba walitakiwa kupanda mabasi yanayokwenda
Kisauke.
“Kisauke ndiyo wapi?” Nelly ambaye ndiyo mara yake ya
kwanza kusikia jina hilo alimwuliza fundi Yassin.
Fundi Yassin alipoulizwa hivyo aliishia kucheka na
kumfahamisha Nelly kwamba ni mbele ya Madale ambako wenye nazo wengi
wameporomosha mahekalu ya nguvu.
“ Ndiyo huko ambako Diamond Platnumz kajenga mjengo
wake?” Nelly alimwuliza fundi Yassin.
“Yap! Ila Kisauke ipo kwa mbele lakini hatutafika
mwisho,” fundi Yassin alimwambia Nelly.
Kwa kuwa walikuwa wanazungumza huku wanatembea walifika
kituo cha mabasi ya Kisauke wakakuta kuna hiace inakaribia kujaa wakaingia na
baada ya dakika chache gari likaondoka.
Njiani Nelly ambaye alikuwa hajawahi kufika pande za
Tegeta akawa anashangaa jinsi watu walivyojenga nyumba na walipofika Kiwanda
cha Twiga Simenti alishangaa sana kwani aliakuwa akikisikia tu!
“Hiki ndiyo kiwanda cha simenti cha Wazo?” alimwuliza
fundi Yassin ambaye alimjibu ndiyo.
Baada ya kutoka Wazo gari liliendelea na safari hadi
walipofika sehemu waliyopaswa kushuka, walipoteremka Nelly alishangaa kumuona
kijana mmoja akija kumpokea fundi Yassin ule mfuko wa kazi.
“Shikamoo bro?” yule kijana alimsalimia kisha
akanisabahi kwa kusema vipi mambo?
Baada ya kuitikia salamu, fundi Yassin alinitambulisha
kwamba yule kijana alikuwa ni mmoja wa vijana waliokuwa wakimsaidia kazi na
kuniambia alikuwa anaitwa Zakayo.
“Aliponitajia jina hilo na jinsi kijana huyo alivyokuwa
mfupi, nikammkumbuka Zakayo wa kwenye Biblia, nikatabasamu.
“Zakayo, huyu anaitwa Nelly tutakuwa pamoja kwenye kazi
zetu,” fundi Yassin alinitambulisha kwa Zakayo.
“Yaani naye atakuwa anakoroga zege kama sisi?” Zakayo
alimwuliza fundi Yassin.
“Ndiyo tutakuwa naye,” fundi Yassin alimwambia.
SEHEMU-5
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale fundi
Yassin alipomtambulisha Nelly kwa Zakayo aliyekuwa akimsaidia kazi na kwamba
wangekuwa wote kazini jambo ambalo Zakayo hakuamini kufuatia muonekano wa
kisharobaro wa Nelly. Je, kilifuatia nini? Songa mbele…
Baada ya utambulisho huo, fundi na vijana wake
waliendelea na safari ya kwenda site lakini Zakayo alikuwa bado aamini kama
Nelly aliyeonekana sharobaro angefanya kazi ya kubeba zege.
Walizidi kupiga stori za hapa na pale huku Nelly
akistaajabu majumba makubwa ya kisasa yaliyojengwa ambapo fundi Yassin akawa
anamuonesha majengo kadhaa ambayo alikuwa amechangia kuyajenga.
Baada ya kutembea kama dakika saba hivi, Nelly
alishangaa wakiwa wapo kwenye bonge ya jumba lenye geti kubwa jeusi, fundi
Yassin akamwambia walikuwa wamefika site.
Kauli ya fundi huyo ilimshangaza Nelly kwa sababu
hakuona nyumba iliyokuwa ikijengwa lakini hakumwuliza hadi fundi Yassin
alipobonyeza kengele ya getini ndipo alitokea binti mmoja mrembo akafungua,
Nelly alipomuona moyo wake ulipiga paa!
“Kumbe ni wewe fundi umekuja, karibuni!” mrembo huyo
alimwambia fundi Yassin huku akimtupia macho Nelly.
“Asante Doreen, vipi bosi yupo?” fundi Yassin alimwuliza
Doreen.
Baada ya kuulizwa hivyo, msichana huyo ambaye alikuwa
akimwangalia Nelly kwa kuibia alimfahamisha kwamba baba na mama yake walisafiri alfajiri ya siku hiyo kwenda
Arusha.
“Eh! Mbona jana hakuniambia na vipi kuna maagizo
aliyokuachia?” Fundi Yassin alimwuliza Doreen.
“Kaniambia kila kitu mtazungumza kwenye simu,” Doreen
alimfahamisha fundi.
Baada ya kuambiwa hivyo fundi alimtambabulisha Nelly kwa
Doreen na kumwambia watakuwanaye pale kazini kisha akamtambulisha Doreen kwa
kijana huyo mwenye dimponsi.
“Yaani naye ni fundi au amekuja kutembea ni ndugu yako?”
Doreen alimwuliza fundi kwani kwa jinsi alivyomuona Nelly hakufanana kabisa na
kazi za ujenzi alizokuwa akizifanya fundi Yassin.
“Yeah! Atakuwa ananisaidia kazi kama wanavyofanya akina
Zakayo na wenzake,” fundi Yassin alimfahamisha Doreen bila kujua ni namna gani
Nelly aliumia moyoni.
“Da yaani fundi badala ya kusema mimi ndugu yake
nimekuja kutembea anaweka wazi kila kitu kwa huyu mtoto mkali, kaharibu
kinoma!” Nelly alizungumza kimoyomoyo.
Baada ya fundi kutoa kauli hiyo, Doreen ambaye hakuamini
kama ni kweli Nelly alikuwa fundi alifunga geti kisha alimwambia fundi Yassin
alikuwa ndani na kama watahitaji kitu wamwite Anne ambaye alikuwa msichana wao
wa kazi.
Wakati fundi Yassin akitoa utambulisho huo, Zakayo
alikuwa amekwisha zunguka nyumba ya nyumba hiyo ambako kulikuwa na jengo lingine
lililokuwa likijengwa.
“Nelly hapa ndipo site ninapofanya kazi mwezi wa pili
sasa, nyumba yah ii nyumba bosi wangu anaangusha mjengo mwingine,” fundi Yassin
alimwambia Nelly.
Fundi alimwongoza Nelly hadi eneo hilo ndipo kijana huyo
mwenye dimponsi ambaye akili yake ilikuwa kwa Doreen alibaki akishangaa ukubwa
wa jumba la yule bosi na ingine aliyokuwa akijenga kwa nyuma yake.
“Kweli kuna watu wana fedha jamani, mijengo yote hii ya
mtu mmoja?” fundi Yassin alimwuliza fundi.
“Wewe unashangaa nyumba hii, ukienda huko mbele ndiyo
balaa watu wamefanya kufuru balaa,” fundi Yassin alimwambia Nelly.
Walipofika kwenye nyumba ya pili ambayo ilikuwa ikiwekwa
malumalu, walimkuta kijana mwingine akipanga malumalu, alipomuona fundi Yassin
alimwamkia.
Baada ya kumwamkia, alimtazama kwa makini Nelly na
kumwambia; “Vipi Mambo?”
“Poa, za kazi?” Nelly alimsabahi.
“Nzuri, karibu!” kijana huyo alimkaribisha Nelly
aliyesema asante.
“Hatuni, huyu hapa anaitwa Nelson Nzamba lakini
tunapenda kulikatisha jina lake na kumwita Nely, ni jirani yangu tutakuwanaye
pamoja kwenye kazi zetu,” fundi Yassin alimtambulisha Nelly kwa Haruni.
Kufuatia utambulisho huo, kama ilivyokuwa kwa Zakayo,
Haruni hakuamini kwa muonekano wa Nelly kama alifanana na kazi za kukoroga
zege, akamwuliza:
“Fundi bwana kwa masihara umezidi, yaani atakuwa
akikoroga zege na kukubeba matofali, malumalu kama sisi?”
“Ndiyo, kwani unamuonaje?” fundi alimwuliza Haruni.
“Hata mimi nimemuuliza
kama wewe kaniambia hivyohivyo,” Zakayo akadakia.
“Kama nilivyowaleza naye tutakuwa tunafanya naye kazi,”
fundi Yassin aliwaambia.
Kule ndani, Doreen kama ilivyokuwa kwa akina Harunu na
Zakayo, akawa haamini kabisa kama Nelly ni fundi.
“Huyo kijana piga ua garagaza siyo fundi, nahisi atakuwa
kaja kumpeleleza baba yangu, sijawahi kumuona sharabaro tena anayevaa miwani na
mwenye dimponsi anafanya kazi za ujenzi,” Doreen aliwaza.
SEHEMU-6
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale kama
ambavyo Zakayo na Haruni walivyokuwa hawaamini kama kweli sharobaro Neely
angeweza kufanya kazi ya ujenzi, Dorren naye kushangazwa na jambo hilo ambapo
moyoni alisema:
“Huyu kijana piga ua garagaza siyo fundi, nahisi atakuwa
kaja kumpeleleza baba yangu, sijawahi kumuona sharabaro tena anayevaa miwani na
mwenye dimponsi anafanya kazi za ujenzi.”
Wakati Doreen anawaza hayo, fundi Yassin na Nelly
walibadilisha nguo na kuvaa za kufanyia kazi kisha fundi huyo alimwambia Zakayo
amwelekeze Nelly kazi ya kufanya.
Baada ya Zakayo kuambiwa hivyo na kumuona Nelly akiwa
kabadili nguo na kuvaa za kazi ambazo hata hivyo hazikuwa chakavu kama
walizokuwa wakifanyia yeye na Haruni, kidogo aliamini kwamba Nelly pia alikuwa
pale kikazi.
Kufuatia fundi kumwambia amwelekeze Nelly kazi ya
kufanya, hakutaka siku hiyo ya kwanza kumpa kazi ngumu akamwelekeza ya kuzoa
mchanga uliokuwa pembeni ya nyumba kubwa waliyoishi akina Doreen.
“Kaka wakati sisi tunaendelea na kazi ya kuweka malumalu
ndani, wewe zoa huu mchanga na kuusogeza pale kwani kesho tunataraji kuanza
kuweka malumalu hapa pote,” Zakayo alimwambia Nelly.
Kwa kuwa eneo ambalo ulikuwepo mchanga ambao Nelly
aliambiwa hauzoe lilikuwa karibu na
chumba alichokuwa akilala Doreen, msichana huyo mrembo alisikia maongezi yao.
Baada ya Zakayo kumwelekeza Nelly kazi ya kufanya akaingia nyumba kubwa walikokuwa wakiweka
malimalu na kumkuta fundi Yassin akimwelekeza kazi ya kufanya Haruni.
“Vipi umemwelekeza?” fundi Yassin alimwuliza Zakayo.
“Tayari bro ila mpaka dakika hii siamini kama huyo
kijana anaweza kufanya kazi hii ngumu tunayofanya, yule amekaa kimayaiyai,”
Zakayo alimwambia fundi Yassin, wakacheka.
“Kwa kuwa kapigika kimaisha, kwa hiyari yake kanifuata
na kuniambia anataka kuja kunisaidia kazi ili aweze kupata fedha, si unaelewa
maisha ni fedha?” fundi Yassin aliwaambia.
“Ni kweli bro lakini kwa huyo kijana akimaliza siku tatu
hapa nitajua kweli amedhamirilia,” Haruni alichagiza, wakacheka.
Wakati fundi Yassin akizungumza na wasaidizi wake hao wa
kazi kazi, kule nje Nelly alianza kuchota mchanga kwa kutumia chepe na
kuurushia eneo aliloelekezwa na Zakayo bila kujua Doreen alikuwa akimchungulia
kupitia dirishani.
“Yaani siamini, huyu kaka na uhandsome wake wote huu na
miwani juu anafanya kazi hii, lazima kaja hapa kumpeleleza baba yangu tu maana
watu wa usalama wa taifa ni balaa,” Doreen aliwaza.
Wakati mrembo huyo anawaza hivyo, Nelly aliyechota
mchanga kama chepe ishirini hivi alipozi na kujinyoosha mgongo kutokana na
ugumu wa kazi aliyokuwa akifanya.
“Huyu siyo fundi mbona anaonekana kuchoka haraka,”
Doreen aliyekuwa bado anamchungulia Nelly pale dirishani aliwaza.
Baada ya kupita kama dakika arobaini hivi tangu aanze
kazi, Nelly alihisi kiu akaingia ndani walikokuwa wakifanya kazi fundi Yassin
na akina Zakayo.
“Vipi Nelly, unaendeleaje? Hii kazi yetu haina udogo
lakini utazoea kadiri siku zinavyokwenda,” fundi Yassin alimwambia.
“Sawa bro, ila nimebanwa na kiu sijui nitapata wapi maji
ya kunywa?” Nelly alimwambia fundi Yassin.
Kwa kuwa mafundi hao walipokuwa wanahitaji maji ya
kunywa waliwasaliana na Anne msichana wa kazi wa akina Doreen, Haruni alitoka
na Nelly, akaanza kumwita Anne.
Licha ya kumuita mara kadhaa, Anne hakuitika ndipo
Doreen alifungua dirisha na kumfahamisha kwamba Anne alikuwa ametoka kidogo.
“Poa dada, huyu fundi mgeni anahitaji maji ya kunywa,”
Haruni alimwambia Doreen.
Baada ya kuambiwa hivyo, Doreen alimwambia sawa na
kumtaka Nelly apite mlango wa uani kisha aingie jikoni.
Kwa kuwa Nelly hakufahamu mlango huo, alimuomba Zakayo
ambaye alikuwa mwenyeji amuoneshe ndipo fundi huyo akamuonesha.
Nelly alizunguka nyuma ya nyumba hiyo na kuuona mlango
wa kuingia jikoni alipotembea hatua kama mbili hivi mlango ulifunguliwa na
Doreen, macho yao yalipogongana, kila mmoja akaachia tabasamu bila kujua sababu
za kufanya hivyo.
“Samahani unataka maji ya baridi au ya moto?” Doreen
alimwuliza Nelly ambaye tayari akili yake ilihama baada ya kuona shepu nzuri ya
Doreen.
“Kwa hiki kijoto yabaridi yatakuwa mazuri,” Nelly
alimwambia Doreen.
“Karibu usubiri ndani wakati nakuandalia,” Doreen alimwambia Nelly.
“Hapana sista wewe niletee tu hapa nje,” Nelly aliyekosa
kujiamini alimwambia Doreen.
“Jamani wewe kaka ingia ndani unaogopa nini?” Doreen
ambaye alikuwa akilindwa sana na wazazi wake asitoke nyumbani kuhofia wanaume
wakware alimwambia Nelly.
SEHEMU-7
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mtoto
mkali Doreen alipombembeleza Nelly kwa sauti nyonyoro kwamba aliogopa nini
kuingia ndani na kumsihi aingie kwani hakukuwa na tatizo. Je, baada kijana huyo
sharobaro kuambiwa hivyo alisemaje? Tuwe pamoja kwenye utamu huu…
Kutokana na sauti nyororo ya kuhamasisha aliyoitoa
Doreen, Nelly alijikuta akiwa jikoni mwa akina Doreen ambapo msichana huyo
alimuongoza mpaka sebuleni kwao, kutokana na nguo aliyovaa kuchafuka kwa
mchanga akawa hajui aketi wapi.
“Karibu ukae kwenye kiti,” Doreen alimwambia Nelly.
“Hapana sista wewe nipe nitakunywa wima, si unaona
nilivyochafuka!” Nelly alimwambia Doreen.
Licha ya Nelly kutoa jibu hilo, Doreen ambaye ghafla
alitokea kuvutiwa na kijana huyo kimapenzi kutokana na kupita muda mrefu bila
kuduu alimlazimisha Nelly kukaa na kusisitiza kwamba hata sofa zingechafuka
angemwambia Anne azifute.
Kitendo cha kubembelezwa kukaa na mtoto huyo ‘mtamu,’
Nelly alikaa sofani kitendo kilichomfurahisha sana Doreen ambaye alikwenda
sehemu ya kulia chakula palipokuwa na jokofu na kuchukua jagi pamoja na glasi.
Alipofika alipoketi Nelly alizogeza stuli iliyokuwa
pembeni ya kochi na kuiweka glasi, akafungua jagi na kumimina juisi nzito ya
embe, akachukua glasi na kumkabidhi Nelly aliyebakia kaduwaa.
“Wewe si ulitaka maji, mimi nimependa unywe hii juisi,”
Doreen mtoto aliyeumbwa haswa na kujaliwa kuwa na makalio f’lani hivi ya
kiuchozi alimwambia Nelly.
“Da! Sikutegemea kama leo nitakutana na sapraizi ya
namna hii, sina cha kuongezea zaidi ya
kushukuru kwa ukarimu huu ambao sijapata kuuona,” Nelly alimwambia Doreen.
Wakati Nelly na Doreen wakipiga stori ndani, si fundi
Yassin, Zakayo wala Haruni aliyekumbuka habari za Nelly kwani wakati huo
walikuwa bize kwa kazi ya kuweka malumalu.
“Kuwa huru tu kaka, hapa nyumbani tumebaki wawili tu
mimi na dada,” Doreen alimwambia Nelly huku akiwa anakwenda sehemu ya kulia
chakula palipokuwa na kabati kubwa la vioo lililokuwa na vyombo.
Kwa kuwa muda huo, msichana huyo alivaa pensi iliyombana
vyema na kusababisha wowowo lake la kiuchokozi kuonekana na bla nyepesi mfano
wa singilendi iliyoonesha viembe sindano vyake, Nelly akachanganyikiwa kabisa.
“Aaa…duuu…aaa…,” Nelly alijikuta akiguna akiwa
amelitumbulia macho eneo la nyuma la Doreen na kushindwa kuendelea kunywa
juisi.
Doreen ambaye hakuwa na habari na kilichokuwa kikijiri
nyuma yake, alipolifikia kabati la vyombo alisukuma vioo vya kusilaidi na kutoa
glasi lakini ile anageuka Nelly alijifanya anakunywa juisi.
“Ngoja na mimi nikusaidie,” Doreen alimwambia Nelly
wakati akimimina juisi juisi kwenye glasi yake kisha akaketi kwenye sofa
aliloketi Nelly.
Kitendo cha msichana huyo kuketi karibu na sharobaro
Nelly, kijana huyo alizidi kuchanganyikiwa ndipo Doreen alimwuliza kama kweli
alikuwa fundi au alikuja pale kumpeleleza baba yake.
“Hapana sista, mimi nije kumpeleleza baba yako ili iweje
wakati simfahamu na ndiyo mara yangu ya kwanza kufika hapa,” Nelly alimwambia
Doreen.
“Ulivyo na kazi unayoifanya vitu viwili tofauti lazima
nikutulie shaka,” Doreen alimwambia Nelly.
“Naomba usinifikirie hivyo, mimi siyo mpelelezi,” Nelly
alimwambia Doreen.
Baada ya Nelly kumhakikishia hivyo Doreen, msichana huyo
alitabasamu na kumwambia kama ni kweli itakuwa vizuri ndipo alimwuliza sababu
za kuchagua kazi ya ufundi.
“Maisha tu dada, ila nilitamani sana kukaa ofisini niwe
nafanya kazi kwa kutumia kompyuta lakini ndiyo hivyo,” Nelly alimwambia Doreen.
Kufuatia kijana huyo kumwambia hivyo Doreen, msichana
huyo alimwuliza alifika kidato cha ngapi, Nelly alimwambia cha nne na kumweleza
kila kitu hadi kufikia hatua ya kuwa pale.
“Unataka kuniambia leo ndiyo kwa mara yako ya kwanza
kufanya kazi ya ufundi?” Doreen ambaye alimuonea huruma Nelly alimwuliza.
“Ndiyo hivyo,” Nelly alimjibu.
Baada ya kijana huyo kujibu hivyo, Doreen alikubaliana
naye kwani alimuona jinsi alivyokuwa akijinyoosha kila alipochota mchanga na
kuutupia eneo aliloelekezwa na Zakayo.
“Oke, sasa sina shaka na wewe, naomba nikuongeze juisi,”
Doreen ambaye alipania kufikia hatua f’lani na Nelly alimwambia.
“Nashukuru sista inatosha,” Nelly alimwambia Doreen.
Licha ya kukataa, Doreen alimimina juisi na kujaza glasi
aliyokuwa akitumia Nelly, lengo lake lilikuwa kumchelewesha kwani aliamini kitendo
cha kuwa pamoja na Nelly angemtongoza tu!
“Ila wewe dada ni mkarimu sana, nashukuru kwa kunijali,”
Nelly alimwambia Doreen.
SEHEMU-8
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly
alipomshukuru Doreen kwa ukarimu wake huku moyoni akipania kumtongoza dada huyo
mrembo kwa sababu hakuwa na sera za kuwaacha watoto wazuri kama huyo. Je, baada
ya Nelly kumshukuru, Doreen alisemaje? Tuwe pamoja kwenye utamu huu…
“Usijali kaka fundi, kuwa huru tena nilisahau kukuuliza,
hivi ulikunywa chai?” Doreen alimwuliza.
“Kwa kuwa nimekunywa hii juisi nzito nimeshiba sihitaji
chai,” Nelly alimwambia Doreen.
“Hakuna kitu kama hicho ngoja nikuandalie maziwa na
sambusha ili utakapokwenda kuendelea na kazi uwe na nguvu,” Doreen alimwambia
Nelly akainuka na kuelekea jikoni.
Kwa kuwa alipania kumpagawisha kijana huyo, wakati
akielekea huko aliyatingisha kimitego makalio yake mapana kitendo
kilichomchanganya kabisa sharobaro Nelly.
“Hakika nikiondoka hapa bila ya kumsomesha huyo mtoto
mkali dhamira yangu itanisuta sana, siwezi kufanya upuuzi huo hata siku moja
ukinzingatia wanawake wameletwa duaniani kwa ajili yetu wanaume,” Nelly
aliwaza.
Wakati akiwaza hivyo, Doreen alirejea akiwa na sahani
iliyokuwa na sambusa tatu na katika mkono wake wa kulia alibeba chupa ya
wastani akajua ilikuwa ya maziwa.
“Huyu mtoto ninavyomuona kanikubali hata nielewa kabisa
kama name sitaonesha uanaume wangu, tena akizubaa tu analambwa bakora leo
hiihii,” Nelly alijisemea moyoni.
“Ukila hizi sambusa na maziwa ndiyo nitakuruhusu
ukaendelee na kazi lakini kinyume chake sitajali cha fundi Yassin wala cha nani
nitakufungia humu ndani hadi jioni,” Doreen alimwambia Nelly.
“Sista bwana unaonesha una vituko sana, haya ngoja nile
sambusa kisha nikawajibike, jamaa wasije
kusema nategea kazi,” Nelly alimwambia Doreen.
Nelly akiwa anatafuna sambusa ya kwanza kwa kutumia
staili yake ya kuwalainisha mademu, alimwangalia Doreen kisha akamkonyeza
kimtindo, si Doreen akaachia tabasamu.
Kufuatia Doreen kufanya hivyo, Nelly alimsifia kwamba
alikuwa mzuri na alijaaliwa kuwa na shepu ya usumbufu ambayo ni wanawake
wachache wanazo.
“Jamani shepu ya
usumbufu ndiyo shepu gani hiyo?” Doreen alimwuliza Nelly kwa kumtega japo
alijua alichomaanisha.
Baada ya kuambiwa hivyo, Nelly alimwambia Doreen asimame
ili amuoneshe si mrembo huyo alisimama ndipo Nelly naye akasimama akazishika
nyonga zake na kusema:
“Unaona kiuno kama hiki kilivyo? Hebu angalia na hipsi
kama hizi, hakika Doreen umeumbika mno, nikutajie vingine?”
Kijana huyo ambaye wakati huo damu zilianza kumwenda
mbio na kusahau kabisa kilichompeleka kule site alimwuliza Dorren ambaye
alimwambia aendelee kwani hicho ndicho alichokuwa akikihitaji.
“Kingine hizi embe bolibo zako, mwanaume yeyote
aliyekamilika akizigusa au kuzishika kabisa, atachanganyikiwa na hayo macho ni
balaa tupu!” Nelly alizidi kumfagilia.
“Hivi kwa mfano nikikuruhusi uzishike utanganyikiwa?”
Doreen alimwuliza Nelly.
“Siyo kuzishika tu, kwa kuziangalia tu hapa sipo sawa,”
Nelly alimweleza Doreen na msichana huyo alipotupia macho kwenye eneo analokaa
‘mkuu wa kaya’ wa Nelly alitabasamu kwani mkuu huyo alikuwa kachangamka.
Kufuatia hali hiyo, Doreen aliyegundua tayari Nelly
alipagawa, kumchanganya kabisa alimruhusu ashike embe bolibo yake ya kushoto
aone kama kweli atachanganyikiwa.
Baada ya sharobaro Nelly kuambiwa hivyo, ilikuwa sawa na
mbuzi kwenda kujilaza miguuni mwa mpika supu au embe dodo kuangukia miguuni mwa
mtu, hakuchelewa hata sekunde moja.
Nelly alivamia chesti a.k.a kifua kitamu cha mrembo huyo
na kuishika vizuri embe bolibo ya kushoto akaanza kuiminyaminya taratibu kwa
staili ya nataka staki, Doreen akaanza kuhema na macho yake kumlegea.
Mpenzi msomaji, si unajua inavyotokea kichaa akiwa
amepewa rungu kitakachofuatia, licha ya
Nelly kupewa ruhusa ya kuishika embe bolibo moja Doreen, si akazitoa zote ‘out’
zikawa zinamtazama kama vile zilimwambia ‘shindwa mwenyewe.’
Kijana huyo aliyejaaliwa utundu wa malovee, mkono wake
wa kushoto akawa anaichezea embe bolibo moja na kwa kutumia kinywa chake akawa
anaifyoza nyingine, acha Doreen achachawe.
Kwa kuwa msichana huyo naye alikuwa amemisi sana mambo
yetu yale, naye si akayavamia makazi ya mkuu wa kaya wa Nelly, sijui akawa
anayafanye bwana, Nelly akaanza kuhema kwa kasi.
Wawili hao ambao wakati huo walikuwa wamehamia kwenye
ulimwengu mwingine, waliendelea kufanyiana vurugu zote za mambo ya chumbani
zaidi kwani Nelly alimpogusa hapa Doreen alimgusa pale.
Nelly alipogundua ile ilikuwa ni nafasi ya dhahabu
ambayo hakuitegemea alimvutia Doreen kwenye sofa walilokalia awali lakini
alipotupia macho kwenye stuli akaaishia kucheka baada ya kuona sambusa mbili na
maziwa yakiwa nusu kwenye glasi.
“Kweli kila kitu na wakati wake, maziwa yatabaki kuwa
maziwa, sambusa zitabaki kuwa sambusa, hapa ni kupeana raha tu na mtoto mkali,”
Nelly alijisemea moyoni wakati huo alikwisha inyonyoa pensi ya Doreen na
kumuacha mtoto huyo na nguo ambayo nashindwa kuitaja live.
Kwa kuwa nyumba hiyo ilikuwa kimya, Nelly aliamua
kumchinjia baharini mtoto huyo mzuri palepale sofani lakini ile anamalizia
kutoa kiwalo chake cha mwisho, akasikia akiitwa na Zakayo.
Chanzo:GPL
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATIA WIKI IJAYO
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.