"
Aaah! Aaaah!"
"Nimechoka
mpenzi wangu!"
"Pole
mai..."
"Mwenziyo
nimetosha jamani."
"Baby
sijako..., aiyaaaaaah, taaaa..mu, baby tamu, tamu, tamu jamani!"
"Ta..m..u
nini?"
"Tamu
kichungio chako."
"Ume…joa
mpenzi!"
"Hapana,
nataka tukitepeteshe kitanda kwanza bby."
"Tukitepeteshe!"
"Tut...m...e
..hasa."
"Jamani
mbona kama unanikomoa?"
"Sikukomoi
bby, napenda sana kichungio chako, ninapokuwa na wewe kitandani nahisi raha na
utamu wa ajabu."
Maziku
alikuwa amemkunja kisawasawa mke wa mtu kiasi kwamba hakuwa anaweza kupumua,
mama wa watu alikuwa akilia kama kinda la ndege linalolilia chakula kwa mama
yake.
"Baby
napenda sauti yako ya mahaba."
"Kwani
ikoje?"
"Ni
tamu, ni nzuri, inanihamasisha hata kama sina mzuka nawe ila nikihisi tu ile
sauti ya kilio chako cha mahaba basi kiba..ia kinasimama chenyewe."
"
Mh!"
"Habari
ndiyo hiyo."
"Unajua
mpenzi wangu toka nimekujua sijutii kuwa na wewe."
"Kwa
nini hujutii."
"Unajua
mapenzi."
"Kiaje."
"Kila
kitu mpenzi wangu."
"Mimi
nilijua kwa kuwa nina ki.a.ia labda mwenzangu uhisi utamu."
"Weeee!
Kama nisingekuwa nahisi utamu wala nisingerudi tena kwako."
"Kwa
hiyo unahisi utamu unapokutana na mimi."
"Haswaaaaa!"
Maneno
matamu yalikuwa yakizidi kuwatoka wapenzi hawa ambao walikuwa wakipeana raha.
"Maziku
sitaweza kukuacha kwa utamu huu, haki ya nani nakuapia?"
"Vipi
kuhusu mume wako ?" Suala la mume wangu niachie mimi mwenyewe nitajua
namna ya kumdhibiti." Mwadawa alimjibu Maziku bila lepe la aibu.
Je,
nini alichokipanga Mwadawa kumdhibiti mumewe? Usikose chombezo hili kila siku
kuanzia saa 4 usiku.
Kwa
ushauri wa Uhusiano wa Mahaba na Ujasiriamali jiunge na M&U
WhatsApp:+255679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.