Ukweli
ni kwamba, kazi ya kwanza ya dunia, ni kukuzuia wewe kufanikiwa. Ni
jambo la kushangaza, na hakuna anayejua kwa nini, ila ukweli ndivyo
ulivyo. Kwamba kazi ya kwanza kabisa ya dunia ni kuhakikisha wewe hufanikiwi, ni kuhakikisha kama unajaribu jaribu tu inakukomesha. Kama unaanza biashara kwa kujaribu jaribu, bila ya kujitoa kweli, inahakikisha inakupa hasara nzuri tu ili ukimbie.
Showing posts with label NUKUU YA M&U. Show all posts
Showing posts with label NUKUU YA M&U. Show all posts
Saturday, May 13, 2017
Friday, February 3, 2017
Published 2/03/2017 10:00:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U'
Hadi hapa nilipofikia naweza kusema MAPENZI SHikamooo! kwani sina hamu, sina bahati na mapenzi, kila
ninayempenda na kumuamini ANANITENDA NA
KUNIUMIZA, Hivi mimi nina mkosi gani?
Ila kwa sasa nimeamua kuuambia mpyo wangu usukume damu
na si mengineyo, uachane na MAMBO YA MAPENZI, USIKILIE MUZIKI.

Kwa USHAURI
WA MAHUSIANO, MADA ZA MAHABA, HADITHI, MACHOMBEZO, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI
NA UJASIRIAMALI. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na.
0657486745 au 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea
ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na:M&U
Wednesday, January 18, 2017
Published 1/18/2017 10:00:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U'
Hongera sana Dada Hidaya kwa hatua ambayo Mungu
amekufikisha tunakutakiwa maisha mema katika ndoa yako, ukawe msikivu,
mvumilivu na mwenye kumtegemea Mungu katika kila jambo. Usisikilize maneno ya
watu, usiwe mtu wa kupaniki kwa jambo dogo, jifunze kuzizuia hasira zako ili
kutafuta suluhu katika ndoa yako.
Tambua migogoro na malumbano ni sehemu ya ndoa yenu.
MUNGU AKUSIMAMIENI.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
Monday, January 16, 2017
Published 1/16/2017 10:00:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U'
Sijaumbwa
kuumizwa kisa mapenzi na mimi nina moyo jamani!
mwaka
2017 sitaki kuumia.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
Sunday, January 15, 2017
Published 1/15/2017 10:00:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U'
SIKUJUA Kama Mapenzi Yanaumiza Kiasi Hiki, Ila Nimejifunza Kwa Mwaka 2017 Sitaki Tena Kuumizwa Na Mapenzi. Acha nifanye yangu.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba,
Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na
M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na
Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
Thursday, January 12, 2017
Published 1/12/2017 10:00:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U'
Kwa
mwaka 2017 najitahidi kuusihi moyo wangu kufanya kazi yake ya kusukuma damu na
si mambo ya mapenzi. Nimechoka kuumizwa kila siku. Nahitaji kufanya
mambo mengine.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
Subscribe to:
Posts (Atom)




