KIUMBE WA
USIKU 01
“Naitwa
Joy.. naishi Tandale. Abeeeh! Nina miaka
18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali aliyoulizwa; akiwa katika
moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la Kuyangatana Guest House na mzee
mmoja wa makamo aliyeonekana kuvutiwa na maongezi kwanza kabla ya kufanya
ngono.
Joy
aliyeonekana hana muda wa kupoteza alianza kumvua nguo yule mzee, alitaka
kumalizana na mteja huyo haraka na kurudi tena uchochoroni ambapo wenzake
walikuwa wamejipanga kusubiri wateja wengine wa kiume wenye hamu ya kufanya nao
mapenzi.
“Kwa nini
unafanya biashara hii wakati wewe ni msichana mzuri ambaye hata naweza kukuoa
kabisa,” aliuliza yule mzee huku akijitahidi kuhakikisha ile tomasatomasa ya
Joy inatoa majibu sahihi ya kusimamisha mlingoti wake ili uvalishwe kinga na
kuanza kuchapa kazi.
“Babu
mimi sina cha kukujibu, naomba tufanye tulichokijia!” alijibu Joy kwa ukali na
kuendelea kuutomasatomasa mlingoti wa babu hadi ulipoitika.
Akahakikisha
anauvalisha mpira na kuuingiza korokoroni. hakuwa na haja ya kuzungusha kiuno
wala kuvua nguo zake zaidi ya kupandisha kimini chake hadi juu na kumuachia
babu wa watu kiwiliwili kiasi cha kumuacha akihema hovyo juu ya kifua chake
kibichi.
“Nikubalie
nikuoe wewe mtoto mtamu kweli, aaashhhh mmmmhh! ” yalikuwa ni makelele ya mzee
wa watu lakini kutokana na uzoefu wa kazi yake wala Joy hakuhangaika kumjibu
lolote yule mzee zaidi ya kuhesabu dakika kimoyomoyo akikadiria mzee huyo
atadondokea dakika ya ngapi.
Lakini
tofauti na wazee wengine na vijana wengi wa siku hizi, wanaomaliza haja zao
ndani ya dakika moja tu, mzee huyo alihimili mikiki, hakutegemea kama mzee huyo angedumu dakika tano.
KIUMBE WA
USIKU 02
Maskini
Joy akaanza kuhisi kufikishwa kileleni na babu, jambo ambalo hakutaka litokee
kwa sababu kama angefika, angeshindwa
kuendelea na kazi yake vizuri usiku huo na kushindwa kujiingizia kipato,
kutokana na uchovu utakaomkuta.
Akakumbuka
kuwa wazee kama hao wengi wao hutumia dawa kuwakomesha machangudoa, “Kama kweli
ameninywea ‘mngulyati’!” akajiapiza
kimyakimya kuwa atasimama na kumdai mzee huyo amlipe hela yake kwa kuwa
amemdanganya.
Kadri
muda ulivyozidi kwenda ndiyo yule mzee alivyozidi kumkuna Joy. Mara kadhaa
akalazimika kuwaza mambo mengi ili mradi hisia zake zisikubaliane na mawazo
yake, kidogo akafanikiwa.
Sasa
ilikuwa imefika dakika 9 na mzee wa watu alionekana hana dalili yoyote ya
kufikia kileleni zaidi ya kelele zake na miguno ambayo Joy alianza kuhisi ni za
uwongo.
“Lazima
nimfanyie kitu huyu mzee hanijui,” aliwaza Joy lakini kabla ya kufanya hivyo, akawaza
jambo la ujanja. Akajifanya naye amepandisha mzuka ile mbaya, akaanza kumkatikia
mzee na kujifanya analalamika balaa.
Mbinu
hiyo ikaonekana kufanya kazi, mzee wa watu akaanza kujikunja akatoa macho kama
chura ameona kumbikumbi, akapiga kelele huku amemshikilia kiuno Joy na mara
akaanguka kama mzigo juu ya kifua cha Joy.
“Mzee
amka unipe hela yangu,” mzee wa watu alionekana amelala kama
vile anakata roho, wasiwasi ukaanza kumuingia Joy akatoka nje haraka kuwaita
walinzi wa gesti ile ambao ni wamasai ili waone yaliyomtokea chumbani kwake.
“kwani
ulifanya nini huyu musee,” aliuliza mmasai mmoja akionekana kuogopa zaidi.
Mzee wa
watu alionekana hana kauli huku mkia wake ulioganda na mpira uliojaa gundi,
ukiwa bado unaning’inia katikati ya miguu yake.
“Wasee
wengine wanapresha halafu wanataka utamu ona sasa. Akitufia tumekwisha” alisema
mlinzi mwingine.
Itaendelea...
Kwa habar, ushauri, ujasiriamali, hadithi, machombezo na
mikasa ya kweli ya mapenzi usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com
au ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook,
Insta:mimi_na_uhusiano au unaweza kujiunga kwenye group letu la WhatsApp kwa
namba za hapo juu.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.