
Mwadawa
alinogewa na penzi na kinyozi Maziku na kujikuta alijisahau majukumu ya
nyumbani kama mke wa mtu. Dharau na gubu likatawala ndani ya nyumba.
Akili
yake ni kumthibiti mume wake kwa namna yoyote ile ilimradi yeye awe huru na
penzi ya damu changa ya Maziku.
Pamoja
na mume wake kurudi...