Friday, February 3, 2017

Published 2/03/2017 07:30:00 AM by

MAGAZETI YA LEO, FEB 3, 2017

Kwa USHAURI WA MAHUSIANO, MADA ZA MAHABA, HADITHI, MACHOMBEZO, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI NA UJASIRIAMALI. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na:M&U
Read More
      edit

Thursday, February 2, 2017

Published 2/02/2017 02:30:00 PM by

NIMEAMUA KUJIUZA-27

ULIPOISHIA…
Nilianza kuisumbua ile namba kwa kubipu mata tafadhali nipigie nika mat ambaye amekutana na zali sasa anaona ni kama linachelewa, ilipofika jioni majira ya saa 12   jioni ile namba ilinipigia nikajikuta nashusha pumzi ndefu kidogo.
SONGA NAO…
“Aaaaaaah” kisha nikapokea, “hallo”
 “Habari ya kwako, bila shaka naongea na Kecho?”
 “Ndiyo”
“Basi namba yako nimepewa na mtangazaji wa redio Mikiki Fm, ulikuwa unasemaje dada,” Nikamuelezea mwanzo mwisho akanihoji maswali kadha wa kadha mengine magumu lakini kwa sababu nilikuwa nahitaji msaada nilikubaliana nayo. 
 
“Mimi binafsi sina msaada wa moja kwa moja kwa kukupatia ila nitajitahidi kukuunga na wadau ambao wanahusika na mambo hayo, kisha nitakupa jibu,” alisema yule kaka.

Nikajihisi kuchoka kwani niliamini tayari tatizo langu limepatiwa ufumbuzi, kumbe bado , dah! Maisha yanahitaji uvumilivu sana, niliendelea kusubiri kwa muda kwani yule kaka aliniambia kuwa atawasiliana na Madam Rita yule wa BSS ili aone kama anaweza kunisaidia katika kipindi chake kipya cha TV ambacho husaidia watu mbalimbali matatizo waliyonayo kwa kuwatafutia suluhisho.

Kipindi ambacho kitakuwa kinarushwa hivi karibuni kwenye moja ya runinga nchini. Nikazidi kuwa mpole baada ya wiki mbili alinipigia na kuniambia dada samahani sana kule sikufanikiwa kumpata Madam kutokana na majukumu lakini nitajitahidi sana kukutafutia msaada kwa wadau wengine.
 
Basi tukawa tumeagana na yule kaka, nikaendelea na maisha yangu, pale Kwa Mfipa wakati huo nilikuwa nimeishapata bwana ambaye alikuwa ni mchoma mkaa naendelea naye, alinipatia gunia moja na mkaa nikaanza kuuza kwa kupanga mafungu, pesa hiyo ndiyo iliyonisaidia kuendelea na maisha ya hapa na pale.

Je, nini kilifuatia baada yak echo kumpata bwana ambaye ni mchoma mkaa, usikose kesho muda kama huu.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U

Read More
      edit
Published 2/02/2017 12:00:00 PM by

NIFANYEJE KUPUNGUZA UKUBWA WA TUMBO!

Mimi ni mwanamke wenye watoto 2, nimeolewa lakini nachukizwa na tumbo langu kuwa kubwa sana, sijui nini chanzo cha tatizo hilo.
Lakini nimejaribu kuwachunguza wanawake wengi nimeona wana matumbo kama yangu, je, ni matumizi ya vidonge, vyakula, kutokufanya mazoezi au magonjwa . Naombeni ushauri wenu, nahisi kujichukia mwenyewe.
 
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
Read More
      edit
Published 2/02/2017 07:16:00 AM by

Mke Amtangaza Mumewe Gazetini Baada Ya Kugundua Anachepuka!

Mtandao wa TUKO umeripoti kuhusu huyu Mwanamke aliyewaaacha wengi na mshangao baada ya kutumia njia isiyo ya kawaida kumzuia mumewe kuchepuka na kuchukua Mwanamke mwingine.

Mwanamke huyo Mkenya aliyetambulika kwa jina la Wanjiru Kamami ama Shiro alichapisha tangazo kwenye gazeti moja la Kenya akitaka kujuzwa habari na yeyote atakayemwona mumewe akiwa na ‘mpango wa kando’ au Mchepuko.

Katika kitendo cha Mwanamke huyo kuonyesha kwamba yuko serious akaamua kuandika na jina la mume wake pamoja na namba ya simu kwenye hilo tangazo lililosomeka:
 "Hii ni kuwajulisha kwamba huyu aliye kwenye picha ni Mume wa Wanjiru Kamami toka mwaka 1982."
“Ukimuona anadanganya Wasichana wa shule, Wanawake wengine au kina mama wa sokoni, mwambie aende nyumbani kwa mke wake au piga simu au sms kwenye 0751 993 571,” – Wanjiru.