Mume mwema mwenye mapenzi ya dhati ndiyo hasa anayenifanya nifurahi na kutabasamu maishani mwangu.
Kwa ushauri jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano
Mume mwema mwenye mapenzi ya dhati ndiyo hasa anayenifanya nifurahi na kutabasamu maishani mwangu.
Kwa ushauri jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano
Kweli dunia ni tambara mbovu, siku hii nakimbuka vifo vya wazazi wangu ambao walifariki siku kama hii.
Mungu nisimamie katika maisha yangu, kwani changamoto ni nyingi sana pekee yangu sitaweza.
Kwa ushauri jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano
Naomba ushauri kuna msichana nampenda sana lakini kila nikijamiana nae ananiuliza umerizika?nkimwambia bado tunaendele kufanya yetu sasa nashindwa kutambua kwamb yeye karidhika au la?
Jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kila siku ninekuwa niligombana na mume wangu kisa simu. Ninaomba ushauri wenu nifanyaje?