Friday, April 29, 2016

Published 4/29/2016 09:52:00 PM by with 0 comment

CHOMBEZO:KIUMBE WA USIKU


KIUMBE WA USIKU 01
“Naitwa Joy.. naishi Tandale.  Abeeeh! Nina miaka 18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali aliyoulizwa; akiwa katika moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la Kuyangatana Guest House na mzee mmoja wa makamo aliyeonekana kuvutiwa na maongezi kwanza kabla ya kufanya ngono.
Joy aliyeonekana hana muda wa kupoteza alianza kumvua nguo yule mzee, alitaka kumalizana na mteja huyo haraka na kurudi tena uchochoroni ambapo wenzake walikuwa wamejipanga kusubiri wateja wengine wa kiume wenye hamu ya kufanya nao mapenzi.

“Kwa nini unafanya biashara hii wakati wewe ni msichana mzuri ambaye hata naweza kukuoa kabisa,” aliuliza yule mzee huku akijitahidi kuhakikisha ile tomasatomasa ya Joy inatoa majibu sahihi ya kusimamisha mlingoti wake ili uvalishwe kinga na kuanza kuchapa kazi.
“Babu mimi sina cha kukujibu, naomba tufanye tulichokijia!” alijibu Joy kwa ukali na kuendelea kuutomasatomasa mlingoti wa babu hadi ulipoitika.

Akahakikisha anauvalisha mpira na kuuingiza korokoroni. hakuwa na haja ya kuzungusha kiuno wala kuvua nguo zake zaidi ya kupandisha kimini chake hadi juu na kumuachia babu wa watu kiwiliwili kiasi cha kumuacha akihema hovyo juu ya kifua chake kibichi.
“Nikubalie nikuoe wewe mtoto mtamu kweli, aaashhhh mmmmhh! ” yalikuwa ni makelele ya mzee wa watu lakini kutokana na uzoefu wa kazi yake wala Joy hakuhangaika kumjibu lolote yule mzee zaidi ya kuhesabu dakika kimoyomoyo akikadiria mzee huyo atadondokea dakika ya ngapi.
Lakini tofauti na wazee wengine na vijana wengi wa siku hizi, wanaomaliza haja zao ndani ya dakika moja tu, mzee huyo alihimili mikiki, hakutegemea kama mzee huyo angedumu dakika tano.

KIUMBE WA USIKU 02
Maskini Joy akaanza kuhisi kufikishwa kileleni na babu, jambo ambalo hakutaka litokee kwa sababu kama angefika, angeshindwa kuendelea na kazi yake vizuri usiku huo na kushindwa kujiingizia kipato, kutokana na uchovu utakaomkuta.
Akakumbuka kuwa wazee kama hao wengi wao hutumia dawa kuwakomesha machangudoa,  “Kama kweli ameninywea ‘mngulyati’!”  akajiapiza kimyakimya kuwa atasimama na kumdai mzee huyo amlipe hela yake kwa kuwa amemdanganya.
Kadri muda ulivyozidi kwenda ndiyo yule mzee alivyozidi kumkuna Joy. Mara kadhaa akalazimika kuwaza mambo mengi ili mradi hisia zake zisikubaliane na mawazo yake, kidogo akafanikiwa.

Sasa ilikuwa imefika dakika 9 na mzee wa watu alionekana hana dalili yoyote ya kufikia kileleni zaidi ya kelele zake na miguno ambayo Joy alianza kuhisi ni za uwongo.
“Lazima nimfanyie kitu huyu mzee hanijui,” aliwaza Joy lakini kabla ya kufanya hivyo, akawaza jambo la ujanja. Akajifanya naye amepandisha mzuka ile mbaya, akaanza kumkatikia mzee na kujifanya analalamika balaa.
Mbinu hiyo ikaonekana kufanya kazi, mzee wa watu akaanza kujikunja akatoa macho kama chura ameona kumbikumbi, akapiga kelele huku amemshikilia kiuno Joy na mara akaanguka kama mzigo juu ya kifua cha Joy.

“Mzee amka unipe hela yangu,” mzee wa watu alionekana amelala kama vile anakata roho, wasiwasi ukaanza kumuingia Joy akatoka nje haraka kuwaita walinzi wa gesti ile ambao ni wamasai ili waone yaliyomtokea chumbani kwake.
“kwani ulifanya nini huyu musee,” aliuliza mmasai mmoja akionekana kuogopa zaidi.
Mzee wa watu alionekana hana kauli huku mkia wake ulioganda na mpira uliojaa gundi, ukiwa bado unaning’inia katikati ya miguu yake.
“Wasee wengine wanapresha halafu wanataka utamu ona sasa. Akitufia tumekwisha” alisema mlinzi mwingine. 
Itaendelea...


Kwa habar, ushauri, ujasiriamali, hadithi, machombezo na mikasa ya kweli ya mapenzi usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com au ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Insta:mimi_na_uhusiano au unaweza kujiunga kwenye group letu la WhatsApp kwa namba za hapo juu.

Read More
      edit
Published 4/29/2016 09:37:00 PM by with 0 comment

MANENO KUNTU



Kwa habar, ushauri, ujasiriamali, hadithi, machombezo na mikasa ya kweli ya mapenzi usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com au ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Insta:mimi_na_uhusiano au unaweza kujiunga kwenye group letu la WhatsApp kwa namba za hapo juu.
Read More
      edit

Wednesday, April 27, 2016

Published 4/27/2016 07:56:00 PM by with 0 comment

POLE

Read More
      edit

Monday, April 18, 2016

Published 4/18/2016 11:20:00 AM by with 0 comment

KILA SIKU MIMI WA KUUMIZWA

Read More
      edit

Sunday, April 17, 2016

Published 4/17/2016 07:37:00 PM by with 0 comment

UNAFANYAJE UNAPOGUNDUA MWANAO NI SHOGA!?

Mimi ni baba wa Familia yenye Watoto 3, wa kike 1 na waliobaki ni wakiume ila mmoja wa Watoto wangu wa kiume nimebaini ana viashiria vya ushoga, kiukweli sipendi watu wenye tabia hiyo. Kwangu ni mtihani mgumu sana je nifanye nini wadau naombeni Ushauri wenu.

Read More
      edit

Friday, April 15, 2016

Published 4/15/2016 05:59:00 PM by with 0 comment

HANIPI HAKI YANGU YA NDOA


Nina mume ila tangu apate kazi ya kusimamia biashara za ndugu yake sjawahi kukutana nae kimwili tangu tangu mwezi 10 mpaka sasa, analala huko huko kama akija nyumbani basi ni kubadilisha nguo na kuondoka.
Nikimuuliza kuhusu Hali yangu ya ndoa anasema kazi nyingine.
Sasa WanaM&U hapa kweli kuna ndoa tena au ndiyo kapata MCHEPUKO?
Naomba Ushauri tafadhali.

Read More
      edit

Tuesday, April 12, 2016

Published 4/12/2016 07:35:00 PM by with 0 comment

MAPENZI MATAMU, HISIA MWANZO, KATI NA MWISHO!



Mpenzi msomaji wa XXLove, tunakutana Jumatatu nyingine kwa rehema za Mwenyezi Mungu. Wiki hii tutaangazia hisia za kimapenzi zinavyotakiwa kuoneshwa kwa wapenzi. Hisia hizo zinatakiwa ziwe mwanzo, kati na mwisho na si katikati tu wakati wa tendo husika kama wafanyavyo wengi.

Mapenzi ni hisia. Hisia zilizojaa utamu ndani yake. Hisia zenye raha na mshawasha wa ajabu, ambao wahusika wanapaswa wawe nazo. Hisia hizi zinatakiwa zionekane kabla (mwanzo), wakati wa tendo lenyewe na hata baada ya tendo. Siyo kukurupuka kama ambavyo wengi wamekuwa wakifanya.

Kimsingi mwanamke anapaswa aoneshe hisia zake kwa mwenza wake kabla hata hawajaingia kwenye uwanja wa mechi. Kama mihemko na hisia zako ziko jichoni ndiyo ulirembue sasa hilo jicho, mtoto wa kike uoneshe utofauti wako na mwenza wako. Kama ni joto la mwili kuongezeka na uliache basi liongezeke. Kama ni pumzi nyingi kushuka, ziache zishuke. Kama ni kupumua kama umekoswakoswa na mkuki basi acha upumue.
Vivyo hivyo kwa mwanaume, mapenzi hayahitaji haraka wala papara. Utamu wa mapenzi ni maandalizi ya mwili, akili na mazingira.

Kama mtaruhusu miili yenu kuonesha hisia za mapenzi mlizonazo, hata kwa kumwangalia tu mwenza wako, unajikuta ukipata hisia kali sana ambazo zinakufanya usikie utamu wa kile kinachoenda kutokea.

Hisia ninazozungumza hapa ni zile zinazomtofautisha mwanamke na mwanaume. Hisia ambazo huonekana au hutokea wakati wapenzi wanapokuwa faragha.

Wanaume wengi wanaonekana kuwa na haraka sana wanapokuwa katika uwanja wa mahaba na wanashindwa kuwaandaa wenza wao na kutaka kufakamia tu tunda bila hata kuliosha au kulimenya kwanza pasipo kufahamu kuwa maandalizi ya awali ndiyo yatakayokusaidia mwanaume na mwanamke kuweza kufikishana kwenye kilele cha mafanikio.

Cha kufahamu msomaji ni kwamba hisia za baadhi ya wanawake ziko mbali sana tofauti na mwanaume hivyo ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha anazifukunyua zilipo. Naye mwanamke ni wajibu wake kuhakikisha anajirembua kadiri awezavyo ili kumruhusu mfukunjuaji aweze kuzifukunyua hisia hizo.
Hisia za kati ni zile zinazotokea au kuonekana wakati wa tendo husika. Mwanamke anapaswa atimize anachopaswa kukifanya na hata mwanaume naye anapaswa afanye yale apasayo kufanya kwa mwenza wake.

Hisia za mwisho ni mara baada ya tendo lenyewe. Mwanamke au mwanaume anapaswa kuendelea kuonesha hisia kwa mwenza wake kuwa bado anampenda, anamthamini na bado anatamani muda ungekuwepo waendelee na ‘kindumbwendumbwe’ chao.

Mpenzi msomaji usikose sehemu ya pili ya makala haya wiki ijayo. Pia usikose kutembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Insta:mimi_na_uhusiano au unaweza kujiunga kwenye group letu la WhatsApp kwa namba za hapo juu.

Read More
      edit

Monday, April 11, 2016

Published 4/11/2016 07:04:00 AM by with 0 comment

SIMAMA TENA TIMIZA NDOTO ZAKO

Yawezekana uliteleza, ulijikwaa na hata kukata tamaa kutokana na shida, changamoto na matatizo yanayokuzunguka.Jumatatu hii umepata nafasi ya kuwa hai kwa kudra za MUNGU, SIMAMA TENA TIMIZA NDOTO ZAKO
Na:M&U
Read More
      edit

Friday, April 8, 2016

Published 4/08/2016 11:35:00 PM by with 0 comment

HAKUNA URAFIKI WA KWELI KWA MWANAUME NA MWANAMKE




SINA budi kumshukuru Mungu kwa kuimaliza siku vyema, bila mtatizo lolote lile na pamoja na kunipa kibali cha kuweza kusoma hii mada inayonihusu mimi kama baba/ mama mwenye ndoa au mtarajiwa.
Mada ya leo ni mahususi sana kwa mama wenye nyumba na baba wenye nyumba wanaosafiri na kumuacha mwenzi wake kwa muda mrefu na mtumishi wa ndani, pasipo kuangalia madhara yanayoweza kujitokeza kwa ukaribu wao.

 Hata kama ni ndugu vipi  mkiishi au kukaa kwa muda mrefu nyumba moja kuna kila dalili za kujikuta mkiingia katika uhusiano wa kimapenzi, nachelea kusema hilo kwa sababu ya mazingira ya kuwa wawili kwa muda mwingi yanaweza kupeleka kuzama penzini ingali ni marafiki ua ndugu kabisa.

Ukitaka kuamini nayokwambia muache mmeo au mke na mfanyakazi wa ndani kwa mwezi mmoja au zaidi, au muache binti yako na mlinzi wa getini ambaye ni au shamba boi uone kama ajapandishiwa mori.
Kimsingi mazingira yanaweza kupelekea baadhi ya watu kujiingiza katika uhusiano wa kimapenzi hata kama ni ndugu.

Nazidi kukupa vielelezo vya kutosha, Gazeti la Uwazi liliandika habari  iliyosomeka hivi; mama awafungia miaka 10 ndani watoto wa kike na kiume, wapeana mimba
Pointi yangu iko hapa, watoto hao waliofungiwa walisemekena kuwa walikuwa na tatizo la  akili na mama yule aliwafungia ili kunuthuru maisha yao kwa sababu nje walikuwa akizunguka hoivyo (ingawa  walishafariki) kilichoenda kutokea ni mojawapo kutembea na dada yake na kumpa mimba.
Angalia mapenzi yalivyo ya ajabu pamoja na tatizo lao la kiakili mihemuko ilipompompanda mmoja wapo alitafuta sehemu ya kuimalizia, kutokana na mazingira hakukua na namna zaidi ya kuimalizia kwa nduguye, kwa sababu ndiye ambaye alikuwa  akimuona mbele, nathubutu kusema mazingira ni moja ya sehemu hatari sana inayoweza kusababisha ndugu, marafiki au wafanyakazi wakazama penzini. 
Kwa  habari, ushauri maoni tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Facebook.

MAONI YA WADAU WA GROUP LA WHATSAPP LA M&U:
M&U Batuli: Huwez kuchanganya mbuz na chui kwenye zizi moja ni ngumu sana
 M&U Vanessa: Jmn...hpo balaa hasi na chanya lazm vivutane tuuu,,,hamna ch undugu wala urafk,,
M&U Batuli: Ila mm nafikir wanaume cyo wavumilivu ukiwaacha na mtoto wakike ndan eidha  ni msichana wa kaz au ndugu yako
M&U Mtumwa : Ni kweli kabisa nasadiki maneno uyasemayo hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume hasa ukizingatia binaadam tumeumbwa na matamanio hasa panapokuwa na watu wa jinsia 2 tofauti
M&U God : kiukwel hakunaga urafiki wa mwanaume na mwanamke labda awe mama yako...
M&U Slivia : Hapo kweli kinachosababisha ni vishawishi kuwa sehem moja kwa mda mtu anapata tamaa ya kitu flan kutoka kwako na mara nyingi hii inakua kwa wanaume ndio wenye tamaa ambazo hawez kujizuia
Wadau ni muda wa mada na si kingine tufanye kile kilichofanya tuwe M&U
M&U God : mmhhh!!!Silivia mbn gar unaangushia kwe2 tu...jaman angalia upande wa pili wa shling
M&U Mtumwa : Hii inachangia na sababu kubwa tofauti ya kimaumbile kati ya mwanamke na mwanaume coz inakuwa vigumu kwa mwanaume kujizuia na matamanio ya kimwili mbele ya mwanamke ndomana uhusiano wa kiurafiki baina ya mwanamke na mwanaume haupo
 M&U Alice : Kweli akuna arafiki kati ya mwanaume na mwanamke apo lazima mmoja atashindwa kujizuia
M&U Slivia : Mwanamke anaweza kujizuia lakin mwanaume kwake ni shida akishapata mchechemko yuko radhi had kubaka yani ata kama haupo tayar mtakurupushana mpaka basi lakin mwanamke ata kama kakutaman anabaki kuumia tu ndani ya nafsi hawez sema
M&U God: tatizo matamanio yanakuwa ni makubwa...linapokuja suala la miemko+mazingira ndo uvumilivu unakuwa zero kabisaaaa!!?1:12
M&U Jafary: Shuu&mdose
M&U Slivia: Mi nasema ivyo sababu ilishanitokeag kama siyo mungu ningebakwa hivhiv wanaume wengine mi sijui kama wakisha waza naniuu huwa wanajali ni ndugu au rafiki saiyo kwake hilo wazo la undugu linaama kabisa
M&U God: hapo tayar suala la matamanio lina nafac kubwa c kwa mwanamke wala mwanamme...@Silivia
M&U Stanlet: In kweli kabisa hill hujengeka kulingana na mazingira
M&u Amne: G yani kitu ulicho kizungumza ni kweli kabisa hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume lazima iko siku unaishia kwenye kuelezana hisia,hasa wanaume huwa si wavumilivu kabisa, mfano huo nimeuona ktk mazingira yanayo ni zunguka ,mwanamke kasafiri kwenda lindi kakaa miez mi wili huku nyuma mdogo mtu kafanya kweli na shemeji,vitu km ivi kweli vipo,tujifunze na tuchukue tahadhar.thnx bro0:15
M&U Isaya: Jamani suala la mhemko halina Adabu kabisa yaani mpaka Baba anaamua kumgeukia binti yake ,,,!!!!
M&U Mtumwa : NI VZR TUKAZINGATIA LENGO LA KUWA HUMU SI VZR KUONYWA KILA WAKATI PENYE MADA TUCHANGIE KWA USHIRIKIANO SI KILA WAKATI NI UWE MUDA WA MZAHA SI WOTE WENYE MITAZAMO YA KUFANANA TUHESHIMU LENGO LA GRP NA ALIYETUFANYA KUWA KITU KIMOJA NADHANI HAKUNA ALIYE UNDER 18 HUMU
M&U Alice: Inategemea ata wasichana inatokea kampenda mwanaume anamwambia kwa sababu mazingira yanaruhu atafanya kumteg mwanaume  paka anaingia laini unakuta mwanaume ataki atamtega kwa aina nyingi paka anaingia laini
M&U VicKY : Itakuwa poa broo g
M&U Isaya: Binafsi nimekuelewa sana G,,,🏿👏🏿
M&u Amne: Hiyo ni kweli kiongoz
M&U God: umeeleweka bro g
Miss Tabley M&U: Kweliiii' vigezo n masharti kuzingatiwa
M&U Jafary Tandika: Sawa bradhar g
M&U Isaya: Kwa kweli wanawake ndo wanaochangia kuamsha hisia kwa wanaume kwanza kutokana na uvaaji wao wa kihasara,,,unamkuta anakuonyesha Mara kwa Mara nguo ya ndani aliyovaa,,,Ss wengine hasa mm nikiona tu nguo ya ndani ya mwanamke akiwa amevaa dah,! Nina kaugonjwa kwel,,,,
M&U Mtumwa: Ni kweli kbs kwa upande mwingine mr lwilla
M&U Isaya: Ndo hvyo Datyuu,,,maungo ya wanawake yanatushawishi
M&U Isaya: Mi nikiona chupi tu kazi kwangu,,,lkn sio kwa kila MTU,,,pia wapo hata baadhi ya ndugu huwa wanaletea matamanio

 
Read More
      edit

Friday, April 1, 2016

Published 4/01/2016 06:03:00 PM by with 0 comment

PIGANIA PENZI LAKO, KULIA AU KULISUSA SIYO DAWA!





Mpenzi msomaji wangu, kama ulikuwa hujui fahamu kwamba mapenzi ni kama siasa, siasa ina ushindani kati ya chama tawala na pinzani, chama tawala kinavuta kwake ili kuendelea kushikilia dola lakini pia vyama pinzani vinajipanga kuhakikisha vinaingia madarakani.

Naweza kusema pia penzi ni kama siti ya daladala, ukishuka wewe mwingine anakaa. Wakati mwingine kuna kuwahiana au kupokonywa. Hapa namaanisha kwamba katika mapenzi kama utakuwa na moyo mdogo wa kutikiswa na vishawishi na wewe unafungasha virago vyako kurudi kwenu, unakuwa unafanya makosa.

Usikubali kuachia ngazi mapema, ng’ang’ania na pigania penzi lako kwa nguvu, usiruhusu kupokonywa kizembe.Kama utaruhusu kutikiswa na ukatikisika unakuwa unakosea sana, utapokonywa wangapi? Haiwezekani mtu aje akutoe kirahisi kwenye penzi uliloanza nalo likiwa changa na leo umelikomaza ili ule matunda mjinga f’lani anaingia kati na kujitamba kwamba yeye ndiye anapendwa kuliko wewe.

Kama alikuwa anapendwa kwa nini hakuwekwa ndani? Hilo ni moja ya swali la kujiuliza, wewe ulipendwa na kuchaguliwa ndiyo maana ukawekwa ndani, haijalishi umefunga ndoa ya kimilia, serikalini, kanisani, msikitini au hujafunga ndoa ilimradi umewekwa ndani.


Umewekwa ndani kwa sababu ya thamani uliyopewa hivyo juhudi zinatakiwa zitoke kwako ili kuhakikisha unaendelea kutunza penzi lako. Kikubwa ukishapendwa na mtu ambaye na wewe unampenda kwa dhati, changamoto nyingi utakumbana nazo lakini pigana mpaka dakika za mwisho ila usipigane kwa maana ya kumwaga damu ya mtu au kufanya mambo ya kishirikina.

Muombe Mungu lakini pia kuwa mvumilivu na mshauri mwenzi wako haijalishi ni mbishi kiasi gani, kama utazungumza ukweli kwake utaona taswira yenye kukuashiria kuwa ulilomwambia kalielewa.

Yawezekana ulisafiri mwezi mmoja au zaidi ukasikia au ukagundua mwenza wako alikusaliti, umia, kubali kupepesuka ila usianguke.Ni kweli usaliti unauma sana na kama watu watajua udhaifu wako watakuingilia na utashangaa unajiweka kando kwa mtu ambaye huenda Mungu alikuwa kapanga muwe pamoja milele.

Ndiyo maana leo nikaona nikutie moyo kwa kukuambia kuwa, kwa mtu uliyetokea kumpenda usikubali mtengane kirahisi. Pigana mpaka pale ambapo utaona kabisa kwamba hakuna jinsi ndiyo unaweza kufanya maamuzi magumu.
Ni hayo tu kwa leo, tukutane tena wiki ijayo kwa mada nyingine.
Usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com kwa habari, ushauri na mikasa ya kweli ya MAPENZI.
GPL
Read More
      edit