SINA budi
kumshukuru Mungu kwa kuimaliza siku vyema, bila mtatizo lolote lile na pamoja
na kunipa kibali cha kuweza kusoma hii mada inayonihusu mimi kama baba/ mama
mwenye ndoa au mtarajiwa.
Mada ya leo ni
mahususi sana kwa mama wenye nyumba na baba wenye nyumba wanaosafiri na
kumuacha mwenzi wake kwa muda mrefu na mtumishi wa ndani, pasipo kuangalia
madhara yanayoweza kujitokeza kwa ukaribu wao.
Hata kama ni ndugu vipi mkiishi au kukaa kwa muda mrefu nyumba moja
kuna kila dalili za kujikuta mkiingia katika uhusiano wa kimapenzi, nachelea
kusema hilo kwa sababu ya mazingira ya kuwa wawili kwa muda mwingi yanaweza
kupeleka kuzama penzini ingali ni marafiki ua ndugu kabisa.
Ukitaka
kuamini nayokwambia muache mmeo au mke na mfanyakazi wa ndani kwa mwezi mmoja au
zaidi, au muache binti yako na mlinzi wa getini ambaye ni au shamba boi uone
kama ajapandishiwa mori.
Kimsingi
mazingira yanaweza kupelekea baadhi ya watu kujiingiza katika uhusiano wa
kimapenzi hata kama ni ndugu.
Nazidi kukupa
vielelezo vya kutosha, Gazeti la Uwazi liliandika habari iliyosomeka hivi; mama awafungia miaka 10
ndani watoto wa kike na kiume, wapeana mimba
Pointi yangu
iko hapa, watoto hao waliofungiwa walisemekena kuwa walikuwa na tatizo la akili na mama yule aliwafungia ili kunuthuru
maisha yao kwa sababu nje walikuwa akizunguka hoivyo (ingawa walishafariki) kilichoenda kutokea ni mojawapo
kutembea na dada yake na kumpa mimba.
Angalia
mapenzi yalivyo ya ajabu pamoja na tatizo lao la kiakili mihemuko
ilipompompanda mmoja wapo alitafuta sehemu ya kuimalizia, kutokana na mazingira
hakukua na namna zaidi ya kuimalizia kwa nduguye, kwa sababu ndiye ambaye
alikuwa akimuona mbele, nathubutu kusema
mazingira ni moja ya sehemu hatari sana inayoweza kusababisha ndugu, marafiki au
wafanyakazi wakazama penzini.
Kwa
habari, ushauri maoni tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com,
Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye
Mtandao wa Facebook.
MAONI YA WADAU WA GROUP LA WHATSAPP LA M&U:
M&U
Batuli: Huwez kuchanganya mbuz na chui kwenye zizi moja ni ngumu sana
M&U Vanessa: Jmn...hpo balaa hasi na
chanya lazm vivutane tuuu,,,hamna ch undugu wala urafk,,
M&U
Batuli: Ila mm nafikir wanaume cyo wavumilivu ukiwaacha na mtoto wakike
ndan eidha ni msichana wa kaz au ndugu
yako
M&U Mtumwa
: Ni kweli kabisa nasadiki maneno uyasemayo hakuna urafiki kati ya mwanamke
na mwanaume hasa ukizingatia binaadam tumeumbwa na matamanio hasa panapokuwa na
watu wa jinsia 2 tofauti
M&U God : kiukwel
hakunaga urafiki wa mwanaume na mwanamke labda awe mama yako...
M&U Slivia
: Hapo kweli kinachosababisha ni vishawishi kuwa sehem moja kwa mda mtu
anapata tamaa ya kitu flan kutoka kwako na mara nyingi hii inakua kwa wanaume
ndio wenye tamaa ambazo hawez kujizuia
Wadau ni muda
wa mada na si kingine tufanye kile kilichofanya tuwe M&U
M&U God : mmhhh!!!Silivia
mbn gar unaangushia kwe2 tu...jaman angalia upande wa pili wa shling
M&U Mtumwa
: Hii inachangia na sababu kubwa tofauti ya kimaumbile kati ya mwanamke na
mwanaume coz inakuwa vigumu kwa mwanaume kujizuia na matamanio ya kimwili mbele
ya mwanamke ndomana uhusiano wa kiurafiki baina ya mwanamke na mwanaume haupo
M&U
Alice : Kweli akuna arafiki kati ya mwanaume na mwanamke apo lazima mmoja
atashindwa kujizuia
M&U Slivia
: Mwanamke anaweza kujizuia lakin mwanaume kwake ni shida akishapata
mchechemko yuko radhi had kubaka yani ata kama haupo tayar mtakurupushana mpaka
basi lakin mwanamke ata kama kakutaman anabaki kuumia tu ndani ya nafsi hawez
sema
M&U
God: tatizo matamanio yanakuwa ni makubwa...linapokuja suala la
miemko+mazingira ndo uvumilivu unakuwa zero kabisaaaa!!?1:12
M&U Jafary: Shuu&mdose
M&U
Slivia: Mi nasema ivyo sababu ilishanitokeag kama siyo mungu ningebakwa
hivhiv wanaume wengine mi sijui kama wakisha waza naniuu huwa wanajali ni ndugu
au rafiki saiyo kwake hilo wazo la undugu linaama kabisa
M&U
God: hapo tayar suala la matamanio lina nafac kubwa c kwa mwanamke wala
mwanamme...@Silivia
M&U
Stanlet: In kweli kabisa hill hujengeka kulingana na mazingira
M&u
Amne: G yani kitu ulicho kizungumza ni kweli kabisa hakuna urafiki kati ya
mwanamke na mwanaume lazima iko siku unaishia kwenye kuelezana hisia,hasa
wanaume huwa si wavumilivu kabisa, mfano huo nimeuona ktk mazingira yanayo ni
zunguka ,mwanamke kasafiri kwenda lindi kakaa miez mi wili huku nyuma mdogo mtu
kafanya kweli na shemeji,vitu km ivi kweli vipo,tujifunze na tuchukue
tahadhar.thnx bro0:15
M&U
Isaya: Jamani suala la mhemko halina Adabu kabisa yaani mpaka Baba anaamua
kumgeukia binti yake ,,,!!!!
M&U Mtumwa
: NI VZR TUKAZINGATIA LENGO LA KUWA HUMU SI VZR KUONYWA KILA WAKATI PENYE
MADA TUCHANGIE KWA USHIRIKIANO SI KILA WAKATI NI UWE MUDA WA MZAHA SI WOTE
WENYE MITAZAMO YA KUFANANA TUHESHIMU LENGO LA GRP NA ALIYETUFANYA KUWA KITU
KIMOJA NADHANI HAKUNA ALIYE UNDER 18 HUMU
M&U
Alice: Inategemea ata wasichana inatokea kampenda mwanaume anamwambia kwa
sababu mazingira yanaruhu atafanya kumteg mwanaume paka anaingia laini unakuta mwanaume ataki
atamtega kwa aina nyingi paka anaingia laini
M&U VicKY : Itakuwa
poa broo g
M&U
Isaya: Binafsi nimekuelewa sana G,,,πΏππΏ
M&u
Amne: Hiyo ni kweli kiongoz
M&U
God: umeeleweka bro g
Miss Tabley
M&U: Kweliiii' vigezo n masharti kuzingatiwa
M&U Jafary
Tandika: Sawa bradhar g
M&U
Isaya: Kwa kweli wanawake ndo wanaochangia kuamsha hisia kwa wanaume
kwanza kutokana na uvaaji wao wa kihasara,,,unamkuta anakuonyesha Mara kwa Mara
nguo ya ndani aliyovaa,,,Ss wengine hasa mm nikiona tu nguo ya ndani ya
mwanamke akiwa amevaa dah,! Nina kaugonjwa kwel,,,,
M&U
Mtumwa: Ni kweli kbs kwa upande mwingine mr lwilla
M&U Isaya: Ndo
hvyo Datyuu,,,maungo ya wanawake yanatushawishi
M&U
Isaya: Mi nikiona chupi tu kazi kwangu,,,lkn sio kwa kila MTU,,,pia wapo
hata baadhi ya ndugu huwa wanaletea matamanio
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.