
Naitwa Ata ni mwanaume mwenye mke na watoto 3, nikiwa kwenye daladala natokea Msasani naenda Chanika nilikutana na dada mmoja ambaye nilikaa naye siti moja.
Kutokana na foleni ilivyokuwa kubwa ikafika sehemu tukaanza kuongea na yule dada ambaye alisema ameokoka.
Daladala uliendelea kwenda mazungumzo...