
USHAURI WAKO:
BOSI ANAMUACHA MKEWE CHUMBANI ANAKUJA KWANGU
Mimi ni binti ambaye ninafanya kazi za ndani.Nilishangaa nimejikuta nampenda bosi wangu wa kiume bila yeye kujua lakini kumbe hata yeye ananipenda.
Baadaye tuliamua kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi, kila siku usiku bosi anamuacha mkewe...