Habari ndugu, naomba ushauri wenu kuna mchungaji kijana anaisumbua na kunikosesha raha kwa kunisumbua eti niwe naye kimapenzi.
Machungaji huyo anataka tukitane sehemu tulivu tuzungumze nikimwambia tuongelee kanisani anakataa.
Eti ananiambia ana maono na mimi nikimkubali na kuzini naye Mungu atatenda. Nimechoka kwa kweli, mtu ambaye nilimuamini kuwa ni msaada wa kunirudisha kiimani leo anashawishi tuzini.
Ungekuwa wewe ungefanyaje kwa hali hii.
#Miminauhusiano#elynekemilembe#
Kwa ushauri wa UJASIRIAMALI na UHUSIANO jiunge na Mi&u WhatsApp:+255679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano Tutwitee au tembelea www.miminauhusiano.blogspots.com
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.