
Niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Koyi, nilidumu na Koyi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu ila baadaye niliachana naye kutokana nay eye kuhamia mkoani.
Nilipata mpenzi mwingine ambaye ninampenda na yeye ananipenda sana ingawa jamaa huwa ana wivu...
Read More