Monday, September 5, 2016
Sunday, September 4, 2016
Saturday, September 3, 2016
Published 9/03/2016 08:08:00 PM by Mimi na Uhusiano 'M&U' with 0 comment
Huo ni utumwa wa mapenzi, huko ni kuendeshwa na nguvu ya
mapenzi, huo ni udhaifu na nidhamu ya woga kupindukia, kama mtu ambaye
unajitambua unapaswa kuhoji, kuuliza au kumshauri mpenzi, mume au mke wako.
Mpenzi wangu mbona hicho kitu sioni manufaa yake kama ukikinunua au kukifanya?
Kwa
USHAURI, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI, HADITHI, MACHOMBEZO, USHUHUDA NA
UJASIRIAMALI Jiunge na M&U WhatsApp kwa Na 0657486745 kwa MADA ZA KILA SIKU.
Thursday, September 1, 2016
Published 9/01/2016 02:58:00 PM by Mimi na Uhusiano 'M&U' with 0 comment
Habari zenu wana M&Unaomba ushauri wenu, mimi ni msichana nina
miaka 23 kwa sasa, nina mpenzi wangu yapata miezi mine sasa tuko kwenye
uhusiano, ninampenda sana na yeye anadaia ananipenda.
Ingawa jamaa hajawahi kujitambulisha kwetu wala kunipeleka kwao,
hivi karibuni aliniomba tishirikie tendpo la ndoa nikamkatalia na kuwambia
aende kwanza nyumbani akajitambulishe na kutimiza kila kitu ili tuwe wanandoa
ndipo nimpe penzi kanuna.
Na aliniahidi kuwa hatolizungumzia tena suala la kuomba penzi na
hataki kunisemesha. Nomba ushauri wenu, nimepe au niendelee na msimamo wangu.
Kwa
USHAURI, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI, HADITHI, MACHOMBEZO, USHUHUDA NA
UJASIRIAMALI Jiunge na M&U WhatsApp kwa Na 0657486745 kwa MADA ZA KILA SIKU.
au
Published 9/01/2016 09:09:00 AM by Mimi na Uhusiano 'M&U' with 0 comment
@mimi_na_uhusiano shared @gracemganga's post with you. See it at https://www.instagram.com/p/BJzHXNdAkl2/?r=1540669353
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)



































































