Saturday, September 3, 2016

Published 9/03/2016 08:08:00 PM by with 0 comment

MADA YA LEO USIKU KWA NINI MAPENZI YAKUENDESHE NA USIYAENDESHE !

Huo ni utumwa wa mapenzi, huko ni kuendeshwa na nguvu ya mapenzi, huo ni udhaifu na nidhamu ya woga kupindukia, kama mtu ambaye unajitambua unapaswa kuhoji, kuuliza au kumshauri mpenzi, mume au mke wako. Mpenzi wangu mbona hicho kitu sioni manufaa yake kama ukikinunua au kukifanya?

Kwa USHAURI, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI, HADITHI, MACHOMBEZO, USHUHUDA NA UJASIRIAMALI Jiunge na M&U WhatsApp kwa Na 0657486745 kwa  MADA ZA KILA SIKU.

      edit

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.