
Msanii wa Bongo Flava, Dogo Janja amezungumzia taarifa zilizokuwa
zikidai kuwa anatoka kimapenzi na Muigizaji wa filamu Irene Uwoya.
Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya leo ‘Ngarenaro’ amekiambia
kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa ukaribu wao ulikuwa wa kawaida tu na
hakuna kilichokuwa kinaendelea...