Wednesday, January 18, 2017

Published 1/18/2017 10:00:00 AM by

HONGERA MWANA M&U KWA KUFUNGA NDOA





Hongera sana Dada Hidaya kwa hatua ambayo Mungu amekufikisha tunakutakiwa maisha mema katika ndoa yako, ukawe msikivu, mvumilivu na mwenye kumtegemea Mungu katika kila jambo. Usisikilize maneno ya watu, usiwe mtu wa kupaniki kwa jambo dogo, jifunze kuzizuia hasira zako ili kutafuta suluhu katika ndoa yako.
Tambua migogoro na malumbano ni sehemu ya ndoa yenu. MUNGU AKUSIMAMIENI.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa

Na.M&U
      edit