Thursday, January 12, 2017

Published 1/12/2017 10:00:00 AM by

MOYO SUKUMA DAMU SI VINGINE!




Kwa mwaka 2017 najitahidi kuusihi moyo wangu kufanya kazi yake ya kusukuma damu na si mambo  ya mapenzi. Nimechoka kuumizwa kila siku. Nahitaji kufanya mambo mengine.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa

Na.M&U
      edit