Thursday, September 22, 2016

Published 9/22/2016 12:00:00 PM by with 0 comment

MKASA-MKE KANIKIMBIA KISA ULEMEVU

Nilizaliwa miaka ya 70 nikiwa mzima wa afya njema na nikafanikiwa kupata mwenzangu ambaye nilimpenda sana na yeye alinipenda. 

Nashukuru Mungu alinijalia nikapata watoto 6 kwa mwanamke ambaye nilikuwa naishi naye kama mke wangu. Maisha yalisonga kama kawaida huki changamoto za hapa na pale zikitokea katika maisha yangu na familia yangu. 

Muda wote huo nilikuwa naishi katika mkoa wetu nikiwa na familia yangu. Ila mwaka 1990 kwangu uligeuka mwaka wa machungu sana katoka maisha yangu. 
Na ndiyo maana hata wewe mwana M&U nimeamua kusimulia ili uweze kujifunza kuwa USIONE VYAELEA, VIMEUNDWA! 

Mwaka 1990 nikiwa katika mizunguko yangu niliokota Shilingi 10 ikiwa imetupwa njia panda. Niliichukua pasipokujua kumbe nilikuwa naokota matatizo ambayo yatayaghalimu maisha yangu.
Kwani baada ya kuokota ile hela nilianza kuugua sana na kupelekea kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wangu. 

Nilifanikiwa kwenda kwenye hospital za eneo nililokuwepo lakini sikupata nafuu. Nilihama makazi kutoka sehemu niliyokuwepo na kuhamia wilayani lakino bado hudu

 Nilishauriwa niende Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza, tatizo langu ni ukosefu wa pesa kwani maisha yangu ni duni sana, naishi kwa kuombaomba nikiwa nimekaa kwenye kiti cha magurudumu huku mtoto wangu mmoja akinitembeza mitaani.

Baada ya miaka kupita mke wangu alipoona siponi aliamua kunitoroka na kuniacha mimi na watoto wangu. Napenda kuwaomba Watanzania waweze kunisaidia kwa namna yoyote ile niweze kupata matibabu pia kunisomeshea watoto wangu.

Sikupenda kuwa hivi nilivyo ila Shilingi 10 niliyoiokota ndiyo imefanya mateso makubwa sana kwangu. Najua umekuwa ukihisi kuwa una matatizo sana yanayokukabili lakini tatizo lako na langu lipi kubwa? Kama ni langu kwa nini ukate tamaa wakati mimi bado najitahidi kupigana ili nipote na ndiyo maana nimepata nafasi ya kuzungumza nawe wana M&U.

Kama una mkasa, ushauri, au simulizi yoyote ya mapenzi unaweza kuniibox. Jiunge na M&U WhatsApp, M&U SMS au M&U kwenye group la Faceboo KUPATA HABARI ZA MAPENZI KILA SIKU.
Pia usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au like ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook.
Read More
      edit
Published 9/22/2016 10:00:00 AM by with 0 comment

MKASA:MKE KANIKIMBIA KISA ULEMEVU

Nilizaliwa miaka ya 70 nikiwa mzima wa afya njema na nikafanikiwa kupata mwenzangu ambaye nilimpenda sana na yeye alinipenda. 

Nashukuru Mungu alinijalia nikapata watoto 6 kwa mwanamke ambaye nilikuwa naishi naye kama mke wangu. Maisha yalisonga kama kawaida huki changamoto za hapa na pale zikitokea katika maisha yangu na familia yangu. 

Muda wote huo nilikuwa naishi katika mkoa wetu nikiwa na familia yangu. Ila mwaka 1990 kwangu uligeuka mwaka wa machungu sana katoka maisha yangu. Na ndiyo maana hata wewe mwana M&U nimeamua kusimulia ili uweze kujifunza kuwa USIONE VYAELEA VIMEUNDWA!
Je, ni nini hivyo basi usikose wiki ijayo kwenye mkasa huu wa kweli. Unaomsumbua Majuto.

Mwaka 1990 nikiwa katika mizunguko yangu niliokota Shilingi 10 ikiwa imetupwa njia panda. Niliichukua pasipokujua kumbe nilikuwa naokota matatizo ambayo yatayaghalimu maisha yangu.
Kwani baada ya kuokota ile hela nilianza kuugua sana na kupelekea kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wangu.
Nilifanikiwa kwenda kwenye hospital za eneo nililokuwepo lakini sikupata nafuu. Nilihama makazi kutoka sehemu niliyokuwepo na kuhamia wilayani lakino bado huduma ya kunifanya nirudie hali yangu ilishindikana.
 Nilishauriwa niende Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza, tatizo langu ni ukosefu wa pesa kwani maisha yangu ni duni sana, naishi kwa kuombaomba nikiwa nimekaa kwenye kiti cha magurudumu huku mtoto wangu mmoja akinitembeza mitaani.

Baada ya miaka kupita mke wangu alipoona siponi aliamua kunitoroka na kuniacha mimi na watoto wangu. Napenda kuwaomba Watanzania waweze kunisaidia kwa namna yoyote ile niweze kupata matibabu pia kunisomeshea watoto wangu.

Sikupenda kuwa hivi nilivyo ila Shilingi 10 niliyoiokota ndiyo imefanya mateso makubwa sana kwangu. Najua umekuwa ukihisi kuwa una matatizo sana yanayokukabili lakini tatizo lako na langu lipi kubwa? Kama ni langu kwa nini ukate tamaa wakati mimi bado najitahidi kupigana ili nipote na ndiyo maana nimepata nafasi ya kuzungumza nawe wana M&U.

Kama una mkasa, ushauri, au simulizi yoyote ya mapenzi unaweza kuniibox. Jiunge na M&U WhatsApp, M&U SMS au M&U kwenye group la Faceboo KUPATA HABARI ZA MAPENZI KILA SIKU.
Pia usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au like ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook.
Read More
      edit
Published 9/22/2016 10:00:00 AM by with 0 comment

USHAURI WAKO: MJANE KUNASA KWA MARIOO NI TATIZO!

Mimi ni mama mjane ambaye mume wangu alifariki dunia takribani miaka 3 iliyopita kwa tatizo la mshtuko wa moyo. Ni mama wa miaka 42 na nina watoto wanne.

Nimekuwa nikiishi katika upweke kwa muda mrefu sana na hata nilipoppata mtu wa kunifariji hakuwa na mapenzi ya kweli zaidi ya kunitumia na kuchikichia na kunifanya niendelee kutamani na kukumbuka uwepo wa marehemu mume wangu.

Baada ya kukaa kwa muda mrefu nikiwa na upweke wangu hatimaye nimempata kijana wa miaka 33 ambaye yuko nje ya nchi. Ananipenda sana na mimi ninampenda na yuko tayari kuishi na mimi, ameshanitumia baadhi ya pesa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa Bongo na hata pesa ya matumizi amekuwa akinipatia.

Nilimuuliza kwa nini ameamua kuwa na uhusiano na mimi mtu mzima ambaye ninamzidi miaka 9, alisema kuwa utu uzima siyo tatizo kwake ni dawa kwani anaamini kuwa mabinti hawana uchungu na maisha hawawezi kutunza na kuendeleza mali zake ambazo zipo hapa nchini.

Kiukweli nampenda lakini wasiwasi wangu ni utofauti wa miaka yetu naona kama jamii itanishangaa na kunisema sana.
Kama mfuatilia wa makala za M&U naomba ushauri wenu ili niweze kujua nini cha kufanya.

Kwa ushauri, mikasa ya kweli ya mapenzi, hadithi, machombezo, ushuhuda na ujasiriliama na Jiunge na M&U WhatsApp, M&U SMS na M&U Facebook group kwa Na.0657486745 kupata makala za mapenzi zenye mafunzo kila siku.

Read More
      edit
Published 9/22/2016 09:46:00 AM by with 0 comment

HABARI ZA MAGAZETI SEPTEMBA 22, 2016

Read More
      edit

Saturday, September 17, 2016

Published 9/17/2016 06:52:00 AM by with 0 comment

JIUNGE NA M&U WHATSAPP KWA NA. 0657486745

PATA MAKALA ZA MAHABA NA USHAURI

Read More
      edit

Wednesday, September 14, 2016

Published 9/14/2016 07:05:00 PM by with 0 comment

KAKA, DADA WATIFUANA KISA KELELE ZA FARAGHA

Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es Salaam, amekutana na kisanga cha dada na kaka ambao ni ndugu wa damu kupigana kisa kikiwa ni kaka mtu kudaia kuwa dada yake amekuwa akimpigia kelele za mahaba (vilio vya faragha) pindi anapokuwa na mumewe.

Ndugu hao wawili ambao wanaishi katika nyumba moja ya urithi waliyoachiwa na baba yao mzazi ambaye ni marehemu. Familia hiyo imeingia kwenye ugomvi baada ya dada kuolewa na kuendelea kuishi kwenye nyumba hiyo na mumewe.
’Mfano wewe mtoto wako kaolewa na mwanaume inabidi akae pale au aende katika mji wake…?alisema kaka mtu.
>>Nimekaa hapa tangu baba yangu akiwa hai, huyu mimi namfunga, mi nipige kelele kwani sina akili? Baba angu mzazi ndiye alitakiwa kusema kama alikua anakereka!!! na hivi naenda zangu polisi.” Alisema Dada.

Kupata makala haya, USHAURI, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI, MACHOMBEZO, HADITHI , USHUHUDA NA UJASIRIAMALI jiunge na  M&U WhatsApp kwa namba 0657486745 utapata mada kila siku.
Au Insta:mimi_na_uhusiano au jiunge Na Group la M&U kwenye Facebook au like ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook.

Read More
      edit