Sunday, October 30, 2016
Friday, October 28, 2016
Kama mwanadamu, kuna.wakati mwingine nakata tamaa, kwani shida na magonjwa ni mengi yananiandama kiasi kwamba nahisi sina msaada wowote katika dunia hii.
Kwani kazini hakueleweki, ada ya shule hakuna, watoto wanarudishwa nyumbani, mama mwenye nyumba anadai hela ya pango lake. Hata ninachokula sicho ninachokitaka bali nachokipata.
Lakini Allah pekee najua ni farijiko langu na kamwe hawezi niacha nipotee. Asante Mungu kwa siku nyingine ya leo.
Kujifunza mengi kuhusu UJASIRIAMALI na MAHUSIANO jiunge na M&U WhatsApp au SMS kea Na. 0657486745.
Na:M&U.
Wednesday, October 26, 2016
NAMNA YA KUSHI NA NDUGU WA MUME
Mimi ni mwanamke nina uhusiano na mwanaume mmoja na tumebahatika kupata mtoto mmoja.
Ninaishi kwao na mume wangu kwenye nyumba yao, mume wangu anapokuwa safari napata changamoto sana za kuishi na nduugu zake kwani kila ninachokifanya naonekana mbaya. Nimechoka labda kweli nina makosa, naomba mnisaidie namna ya kuishi na ndugu wa mume wangu.
Kupata ushauri, makala za mahaba, mikasa ya kweli ya mapenzi, hadithi, simulizi na ujasiriamali. Jiunge na M&U WhatsApp au SMS kwa Na. 0657486745 Kupata mada za mahaba kila siku.

Monday, October 24, 2016
Nina mpenzi wangu ambaye tunapenda sana na kila kitu namtimizia na yeye ananitimizia.
Tuna miaka mitano kwenye uhusiano wetu, hivi karibuni nimeanza kusikia tetesi kuwa mpenzi wangu ni mchapukaji mzuri sana. Najiuliza nianze kumchunguza au nipotezee tu nisije nikaumia bure.
Kwa ushauri, mada za mahaba, hadithi, machombezo, mikasa ya kweli ya mapenzi na ujasiriamali jiunge na M&U WhatsApp kwa Na.0657486745 kupata unachokitaka kuhusu uhusiano kila siku.