Kama mwanadamu, kuna.wakati mwingine nakata tamaa, kwani shida na magonjwa ni mengi yananiandama kiasi kwamba nahisi sina msaada wowote katika dunia hii.
Kwani kazini hakueleweki, ada ya shule hakuna, watoto wanarudishwa nyumbani, mama mwenye nyumba anadai hela ya pango lake. Hata ninachokula sicho ninachokitaka bali nachokipata.
Lakini Allah pekee najua ni farijiko langu na kamwe hawezi niacha nipotee. Asante Mungu kwa siku nyingine ya leo.
Kujifunza mengi kuhusu UJASIRIAMALI na MAHUSIANO jiunge na M&U WhatsApp au SMS kea Na. 0657486745.
Na:M&U.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.