Friday, December 15, 2017

Published 12/15/2017 03:00:00 PM by with 0 comment

UNAMUONA HAKUFAI KWA SABABU UKO NAYE


Hakuna aliyeijua leo, lakini ni Mungu pekee ambaye ametupa kibali cha kutumia pumzi yake na ndiyo maana tuko wote.
Waswahili wanasema kazi mbaya ukiwa nayo na wengine wanasema kazi nzuri ukiwa hauko nayo


kama wewe ni mmoja wa wale ambao ulishwawahi kujilaumu  kwa kum,uacha au kufanyia vimbwanga mpenzi wako na baada ya kuacvhana naye kwa muda ukaanza kujiulia na kujilaumu ningejuaaa,….. basi nitumie maoni yako na yatatoka wiki ijayo kwenye safu hii.
Unajuata kuwa naye kwa sababu unaye.

Wengi wamekuwa akijilamumu sana kwa kuwa na wapenzi flani kwa sababu ya changamoto za hapa na pale, si wanaume wala wanawake ambao wamejikuta wakiingia kwenye manung’uniko hayo.

Alki wengi wanasahau wanajuata kwa sababu tu yuko naye,  kuna wenzako wanatamni hata wampate huyo wa kumjutisha anamkosa, kuna mwingine anatamni ampate mpenzi yeyote atakaye kuwa ana msumbua mara kumuuliza hiki na kile, hauna sababu ya kujuta hayo ndiyo maisha  hata kwa huyo unayedhani ni bora naye ukipa nafasi ni yale yale tu.

Falsaha hii naifananisha na mtu ambaye anafanya kazi matra nyingi kazi mbaya ni ile ambayo unakuwa nayo ila ukiwa hauna kazi unaona kazi yoyote ni nzuri sana.

Kwa Ushauri Wa Uhusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. +255679979785
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa

Na.M&U



      edit

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.