Saturday, August 6, 2016

Published 8/06/2016 07:00:00 AM by with 0 comment

UJASIRIAMALI: JIFUNZE KUEPUKA SABABU ZISIZI ZA MSINGI


Kila mwenye PUMZI na amsifu MOLA wake kwani yeye ndiye mwenye mamlaka ya kuikatisha au kuiacha iendelee pumzi niliyonayo au uliyonayo.
Sema asante kwa kila jambo siku ya leo kwani mengine yanapaswa yatimie ili kukamilisha maandiko. Niwape pole ndugu, jamaa, marafiki wanaoumwa, wanaouguliwa, waliofiwa na majanga mengineyo.



Nimekuwa nikijiuliza kama kukinga ni bora kuliko kutibu basi vivyo hivyo msemo wa wahenga unamaanisha kuwa nusu shari ni bora kuliko shari kamili, ninachoamini katika maisha yangu ni bora kujifanya mjingi ili siku ziende lakini katika uhalisi wewe si mjinga unaajua unachokifanya, unajua unachokitafuta, unajua malengo yako.

Niliwahi kukutana na msichana mmoja sehemu akiwa anakatisha ushuru kumbe yule dada dhamira yake kubwa ilikuwa nikupata pesa za kwenda shule, muda ulipofika akatokomea ila nafahamu kwa kuwa alikuwa binti kuna vishawishi na mambo mbalimbali aliyokutana nayo ila kwa sababu lengo lake lilikuwa litimie.

Simama katika mstari wako, najua siyo vishawishi au majaribu yote utayashinda mengine yatakufanya uwe jasiri basi pigana na muombe Mungu atakusimamia.
Mada yangu ya leo inasisitiza juu ya mtu kujenga tabia ya kuepuka, shari, sababu au athari mbalimbali kwa ‘kusensi’ kuwa nikifanya hiki kuna jambo baya zaidi linaweza kutokea nikifanya hivi basi kuna ugomvi mkubwa utaibuka.

Watu wengi nawaona wanashindwa kukwepa baadhi ya sababu au matatizo yasiyokuwa na msingi,hivi kwa mfano unaishi kwenye nyumba ya vioo alafu wewe ni mtaka shari unategemea nini.
ITAENDELEA..

UMEUMIZWA NA MAPENZI USIKOSE HII
Nimeteswa, nimelizwa, nimenyanyasika, nimeumizwa kisa kikiwa ni mapenzi ila kwa Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U) YA KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE).
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016. SIYAKUKOSA KWA KIINGILIO:7000/= NA BITES.
Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.

Read More
      edit

Friday, August 5, 2016

Published 8/05/2016 08:13:00 PM by with 0 comment

UMEUMIZWA NA MAPENZI HII SI YA KUKOSA!


Nimetesa, nimelizwa, nimenyanyasika, nimeumizwa kisa kikiwa ni mapenzi ila kwa Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U) YA KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE).
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016. SIYAKUKOSA KWA KIINGILIO:7000/= NA BITES.

Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.


Read More
      edit
Published 8/05/2016 07:30:00 PM by with 0 comment

M&U LIVE KUTOKA SIBUKA FM

Baadhi ya wadau wa Mimi na Uhusiano (M&U) wakiwa katika studio za Redio Sibuka Fm, Mwenge jijini Dar. Kwa ajili ya Semina ya KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA MAPENZI NA JENGA UJASIRI SIMAMA TENA.



Yawezekana umeteswa, umenyanyasika, umetelekezwa, umelizwa na umeachwa kisa kikiwa ni MAPENZI basi TUMAINI JIPYA laja usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016.KIINGILIO:7000/= NA BITES.
MADA KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI).
Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.


Read More
      edit
Published 8/05/2016 04:30:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO


Anko G. samahani mimi nina jambo linanitesa sana mim ni mdada mkazi wa Kagera linalonisibu nilikuwa na mpenzi mwanzoni mwa mwezi wa nne baada ya kuingia kwenye mahusiano na kuwa naye karibu nimegundua hana ustaarabu hata kidogo, ana tabia chafu sana nikaamua kumuweka wazi kwamba kama hata badilika siwezi kuwa naye lakin hakubadilika nikaamua kumuacha.
Nimekaa muda baadaye nikampata kaka mwingine aliniambia hana mke, nikaanza naye uhusiano, yule kaka wa zamani niliyemuacha amèfanya uchunguzi akagundua kuwa natembea na mwanaume mwingine alichofanya kwa kuwa anamjua huyo mkaka akamtafuta mke wake akamwambia kuwa natembea na mume wake.

Alichofanya akampa yule mwanamke na namba yangu ya simu na huyo mdada ananitafuta, maana juzi amenipigia simu kwamba tuonane , Je, nifanye nini na mimi sikuwa najua kama ni mume wa mtu?
Kwa habai, ushauri, simulizi, chombezo, mada za mahaba na mikasa ya kweli ya mapenzi jiunge na M&U WhatsApp kwa namba 0657486745. kwa mada za kila siku. au tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com
Nimeteswa, nimelizwa, nimenyanyasika, nimeumizwa kisa kikiwa ni mapenzi ila kwa Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U) YA KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE).
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016. SIYAKUKOSA KWA KIINGILIO:7000/= NA BITES.
Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.

Read More
      edit
Published 8/05/2016 12:00:00 PM by with 0 comment

SIMULIZI-KIMETIMIA

Mpenzi mwanaM&U napenda kukushirikisha katika hiki ambayo binafsi nina amini kuwa kimetimia. Napenda kuwahusisha kwa namna moja kwa sababu tu ni sehemu ya maisha yangu na yenu pia.
Kwa kawaida mimi huwa sio shabiki wa shabiki sana kula chipsi ika kutokana na mazingira ya kazi na maakaazi inafika sehemu nalazimika kushiriki katika chakula hicho.
Lakini pamoja na yote hayo nimekuwa sio mpenzi sana wa kula chipsi kuku bali chipsi kavu na kama nikiona nina hamu na mfuko unaruhusu ninakula chipsi kavu na mishika, soseji au nyama ya kuku wa kienyeji kama anapatikana.
Vivyo hivyo hata kwenye chipsi mayai huwa siri mara kwa mara chipsi na mayai ikitokea basi ni kwa sababu maalumu na ni mara moja kwa mwezi.

Kuna kipindi hataa mimi mwenyewe najishitukia hivi ni ubahili, bajeti au angalizo. Au sizipendi nyama mayai ya kisasa, jibu ni angalizo kwa afya yangu japo kwa kiasi f’lani.
Kwa nini, huwa najiuliza inawezekanaje kuku wa kukua miezi 3-5 akue na kuwa tayari kwa kuliwa kwa wiki kadhaa, hapo inanitia shaka sana kuwa bila shakaa ni lazima kemikali zinatumika na ni kweli zinatumia sana.
Kingine ambacho nimekuwa nikiamini ni kuwa wakati mwingine wale kuku huwa si salama hivyo nafika sehemu sitamani kuwala na nimekuwa mvivu sana katika kula nyama ya kuku wa kisasa.

Leo nikiwa nimeenda kununua chipsi kwa mpemba ambaye huwa anasifika mtaani kwako wa chipsi zake nzuri na tamu, nikaagiza chipsi kavu na soseji 2, aweke kila kitu kasoron tomato.

Nikiwa kwenye foleni , ghafla namuona mdada kajifungwa kibwebwe akitweta kwa jazba huku akizidi kuja uelekeo wa kibanda cha mpemba cha chipsi, mkononi akiwa na kibakuli.

Usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U).Mada Kuu itakuwa: MADA KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI)
.
Itafanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. Kiingilio:7000/= na bites.
Kwa maelezo au kupata tiketi yako mapema piga simu au tuma SMS kwenda namba 0657486745 au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Facebook au jiunge na M&U WhatsApp kwa namba 0657486745 kwa mada za kila siku za mahaba.

Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wadau wako WAWEZE KUEPU MATESO YA MAPENZI NA KUANZA MAISHA MAPYA.
Read More
      edit
Published 8/05/2016 06:43:00 AM by with 0 comment

HABARI ZA MAGAZETI AGOSTI, 5/2016





























Read More
      edit
Published 8/05/2016 02:00:00 AM by with 0 comment

USHAURI WAKO:


Mimi ni binti nina mpenzi wangu nampenda sana na ninatamani awe mme wangu ila tatizo lake ni mkali sana. Jana alisikia kuwa kuna kijana ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kuwa nachati naye  akamfuata na kumuuliza  na yule mfanyakazi mwenzangu akakubali ni kweli ila akasema kuwa mimi ndiye niliyemtongoza. mpenzi wangu amechukia sana ila kiukweli sina uhusiano na wala sijamtongoza yule kijana. Nifanyeje ili mpenzi wangu aniamini na anipende?.


PIA Yawezekana umeteswa, umenyanyasika, umetelekezwa, umelizwa na umeachwa kisa kikiwa ni MAPENZI basi TUMAINI JIPYA laja usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016.KIINGILIO:7000/= NA BITES.
MADA KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI).
Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.


Read More
      edit

Thursday, August 4, 2016

Published 8/04/2016 08:18:00 PM by with 0 comment

CHOMBEZO- NIPE KWA HUKU

NIPE KWA HUKU ni chombezo jipya kabisa litakalokuijia kila siku, kujua utamu wa CHOMBEZO hili jiunge na M&U WhatsApp kwa namba 0657486745 ili
kupata mada za mahaba , ujasirimali na MIKASA YA MAPENZI YA KWELI kila siku.
PIA Yawezekana umeteswa, umenyanyasika, umetelekezwa, umelizwa na umeachwa kisa kikiwa ni MAPENZI basi TUMAINI JIPYA laja usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016.KIINGILIO:7000/= NA BITES.
Kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.

MADA KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI).
Read More
      edit
Published 8/04/2016 08:18:00 PM by with 0 comment

HII SI YA KUKOSA KWA WAPENZI


Yawezekana umeteswa, umenyanyasika, umetelekezwa, umelizwa na umeachwa kisa kikiwa ni MAPENZI basi TUMAINI JIPYA laja usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016. kwa maelezo zaidi au kupata tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.




Read More
      edit

Saturday, July 23, 2016

Published 7/23/2016 06:48:00 PM by with 0 comment

KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA MAPENZI

SEMINA YA UHUSIANO:
Usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U).Mada Kuu itakuwa: KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA MAPENZI. Itafanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. KWA MCHANGO-Shs.5000/= Kwa maelezo zaidi na kufanya booking, piga simu au tuma SMS kwenda namba 0657486745 au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Facebook.

Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wadau wako WAWEZE KUEPU MATESO YA MAPENZI NA KUANZA MAISHA MAPYA.
Read More
      edit