Mpenzi mwanaM&U napenda kukushirikisha katika hiki ambayo binafsi nina amini kuwa kimetimia. Napenda kuwahusisha kwa namna moja kwa sababu tu ni sehemu ya maisha yangu na yenu pia.
Kwa kawaida mimi huwa sio shabiki wa shabiki sana kula chipsi ika kutokana na mazingira ya kazi na maakaazi inafika sehemu nalazimika kushiriki katika chakula hicho.
Lakini pamoja na yote hayo nimekuwa sio mpenzi sana wa kula chipsi kuku bali chipsi kavu na kama nikiona nina hamu na mfuko unaruhusu ninakula chipsi kavu na mishika, soseji au nyama ya kuku wa kienyeji kama anapatikana.
Vivyo hivyo hata kwenye chipsi mayai huwa siri mara kwa mara chipsi na mayai ikitokea basi ni kwa sababu maalumu na ni mara moja kwa mwezi.
Kuna kipindi hataa mimi mwenyewe najishitukia hivi ni
ubahili, bajeti au angalizo. Au sizipendi nyama mayai ya kisasa, jibu ni
angalizo kwa afya yangu japo kwa kiasi f’lani.
Kwa nini, huwa najiuliza inawezekanaje kuku wa kukua miezi
3-5 akue na kuwa tayari kwa kuliwa kwa wiki kadhaa, hapo inanitia shaka sana
kuwa bila shakaa ni lazima kemikali zinatumika na ni kweli zinatumia sana.
Kingine ambacho nimekuwa nikiamini ni kuwa wakati mwingine
wale kuku huwa si salama hivyo nafika sehemu sitamani kuwala na nimekuwa mvivu
sana katika kula nyama ya kuku wa kisasa.
Leo nikiwa nimeenda kununua chipsi kwa mpemba ambaye huwa
anasifika mtaani kwako wa chipsi zake nzuri na tamu, nikaagiza chipsi kavu na
soseji 2, aweke kila kitu kasoron tomato.
Nikiwa kwenye foleni , ghafla namuona mdada kajifungwa
kibwebwe akitweta kwa jazba huku akizidi kuja uelekeo wa kibanda cha mpemba cha
chipsi, mkononi akiwa na kibakuli.
Usikose
kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U).Mada Kuu itakuwa: MADA
KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Itafanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. Kiingilio:7000/= na bites.
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Itafanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. Kiingilio:7000/= na bites.
Kwa
maelezo au kupata tiketi yako mapema piga simu au tuma SMS kwenda namba
0657486745 au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa
Facebook au jiunge na M&U WhatsApp kwa namba 0657486745 kwa mada za kila
siku za mahaba.
Tafadhali
sambaza ujumbe huu kwa wadau wako WAWEZE KUEPU MATESO YA MAPENZI NA KUANZA
MAISHA MAPYA.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.