Mimi ni binti nina mpenzi wangu nampenda sana na ninatamani awe mme wangu ila tatizo lake ni mkali sana. Jana alisikia kuwa kuna kijana ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kuwa nachati naye akamfuata na kumuuliza na yule mfanyakazi mwenzangu akakubali ni kweli ila akasema kuwa mimi ndiye niliyemtongoza. mpenzi wangu amechukia sana ila kiukweli sina uhusiano na wala sijamtongoza yule kijana. Nifanyeje ili mpenzi wangu aniamini na anipende?.
PIA Yawezekana umeteswa,
umenyanyasika, umetelekezwa, umelizwa na umeachwa kisa kikiwa ni MAPENZI basi
TUMAINI JIPYA laja usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U).
Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016.KIINGILIO:7000/= NA BITES.
MADA KUU:KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE)
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI).
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI).
Kwa maelezo zaidi au kupata
tiketi yako mapema wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.