Sunday, December 24, 2017

Published 12/24/2017 09:57:00 PM by with 0 comment

M&U INAKUTAKIA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Uongozi wa Mimi na Uhusiano Foundation unakutakiwa Heri ya Fanaka ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya. Mungu Mwenyezi akutie faraja kwenye magumu yote, akupe subira kwenye changamoto unazokutana nazo. Akupe wepesi kwenye riziki yako ya kila siku. Akupe kumbukumbu ya kumtukuza na kumsujudu yeye...
Read More
      edit

Tuesday, December 19, 2017

Published 12/19/2017 04:00:00 PM by with 0 comment

USIJILIAMU KWA KUKOSEA MWAKA 2017

  Ni siku moja imesalia ili Wakristo na wasiyo Wakristo duniani kote kuweza kusherehekea Sikukuu ya Krismas (kuzaliwa kwa Yesu Kristo). Wiki kadhaa ndugu zetu waislamu walisherehekea pia Sikukuu ya Maulidi au kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), walimaliza salama na Mungu awaongoze Wakristo...
Read More
      edit
Published 12/19/2017 03:00:00 PM by with 0 comment

UNAWEZA KUTAMBULISHWA NA BADO UKAACHWA!

Mambo wanaM&U, nimshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kukutana nayi kwa siku nyingine tena, karibuni katika kujifunza kuhusu uhusiano katika maisha yetu ya kila siku. Mada yangu ya leo nitazungumzia watu ambao wanadhani wakitambulishwa basi inakuwa nikifungo kwa mtu aliyemtambulisha kwa...
Read More
      edit
Published 12/19/2017 12:00:00 PM by with 0 comment

MKE MWENZANGU, HANIPENDI!

Poleni na majukumu ya siku nzima. Nimekuwa nikifuatukia ushauri na maoni yenu mbalimbali kuhusu UHUSIANO WA MAPENZI. Mimi ni binti wa miaka 20 nina mwaka mmoja nikiwa nimeolewa mke mdogo na mwanaume mwenye miaka zaidi ya 40. Nilipoolewa nimemkuta mke mwenzangu mkubwa yeye ana miaka 40. Lakini...
Read More
      edit

Saturday, December 16, 2017

Published 12/16/2017 03:30:00 PM by with 0 comment

KWA NINI HUTAKI KUKUBALI UNAPOKOSA!

Nimshukuru Mungu kwa wema wake alionitendea leo katika mzunguko mzima wa shughuli zangu za kila siku, ikiwemo kuninuthuru na mambo mbalimbali ya kiovu. Bila shaka na wewe unaposoma makala haya huna budi kusema asante Mwenyezi Mungu kwa kunisimamia katika kuimaliza vyema siku ya leo. Katika...
Read More
      edit
Published 12/16/2017 12:00:00 PM by with 0 comment

NI SAHIHI WANA NDOA KUKAGUANA KAMA WAMECHEPUKA?

Habari za kazi ndugu, swali langu ni sahihi kwa wapenzi au wana ndoa kuwa wanakaguaka kila wanapotoka kazini? Kwa mfano mwanamke akama hajaenda kazini basi mumewe akirudi anamkaguwa na mwanaume naye akiwa hajaenda kazini, mkewe akirudi kabla ya kuoga aua kupumzika anamkagua kama kachepuka! Kwa...
Read More
      edit

Friday, December 15, 2017

Published 12/15/2017 03:00:00 PM by with 0 comment

UNAMUONA HAKUFAI KWA SABABU UKO NAYE

Hakuna aliyeijua leo, lakini ni Mungu pekee ambaye ametupa kibali cha kutumia pumzi yake na ndiyo maana tuko wote. Waswahili wanasema kazi mbaya ukiwa nayo na wengine wanasema kazi nzuri ukiwa hauko nayo kama wewe ni mmoja wa wale ambao ulishwawahi kujilaumu  kwa kum,uacha au kufanyia vimbwanga...
Read More
      edit
Published 12/15/2017 12:00:00 PM by with 0 comment

NANI WAKULAUMIWA, MUME AU BINAMU ALIYEZINI NA SHEMEJI NAYE

Mimi ni mwanamke ambaye nimebahatika kuolewa. Hivi karibuni nimegundua kuwa mume wangu amezini na binamu yangu. Je, nani wa kumlaumu kati ya mume wangu na ndugu yangu? Nini nifanye kwa kitendo alinichonifanyia mume wangu na binamu yangu? #ACHAWOGATHUBUTU#MIMINAUHUSIANO# Kwa ushauri wa Uhusiano...
Read More
      edit
Published 12/15/2017 12:00:00 PM by with 0 comment

SHIDA HUTAFUTA UVUMBUZI

Usiogope kukutana au kupatwa na shida, hautakufa kwa sababu ya shida, hautadhorika kwa sababu ya shida ulizonazo ila kama ukizitumia vizuri shida zako zitakufanya upate uvumbuzi wa matatizi na changamoto zako. Maisha yoyote yale, duniani kote kazima ukutane na shida mbalimbali na hata waliofanikiwa...
Read More
      edit

Thursday, December 14, 2017

Published 12/14/2017 09:30:00 PM by with 0 comment

USIKATE TAMAA KWA SABABU YA KUACHWA

Mungu ni mwema na mwenye upendo wa dhati kwetu sote kwa yeye kutuunganisha na kuwa kitu kimoja kupitia #Mi&U. Nikushukuru wewe ambaye umekuwa sehemu ya #Mi&U tangu kuanzisha hadi sasa. Najua kuna mengi ambayo unayapitia katika maisha yako ya kila siku yawe ya mapenzi au kawaida. Vivyo hivyo...
Read More
      edit
Published 12/14/2017 10:00:00 AM by with 0 comment

MWAKA UNAISHA UMEGUNDUA MAKOSA YAKO!

Mwaka ndugu ndiyo unakaribia kuisha, yamkini ulikuwa na majukumu au mipango mingi sana katika maisha ya penzi lako. Je, mipango yako imeenda kama ulivyokuwa umepanga? Kama ilienda aua haijaenda sawa mshukuru Mungu. Kwani bado kakujaliwa pumzi yake. Kama mipango haikwenda sawa, jiulize kwa nini?...
Read More
      edit
Published 12/14/2017 12:00:00 AM by with 0 comment

NITUMIE MBINU ZIPI KUINJOYI KIBAMIA CHA MUME WANGU!

Naomba ushauri wako, mimi ni mwanamke ambaye nimeolewa hivi karibuni, ila kabla ya ndoa sikuwa nimekutana kimwili na mume wangu. Baada ya kufuata taratibu zote za kwetu alinioa.Siku ya kwanza nakutana naye faragha nilishtuka sana kuona ana #KIBAMIA nikapotezea kwa kujua atakuwa anajua kukitumia vizuri.   Kiukweli siku...
Read More
      edit

Friday, October 6, 2017

Published 10/06/2017 06:06:00 AM by with 0 comment

HATA COMPUTER HAIZIDI AKILI ZAKO-2!

Jana nilianza kuzungumzia ni kwa jinsi gani akili yako inaweza kujibu maswali magumu yote ambayo unayo au yanakusumbuka. Ili kupata majibu au mafanikio ya jambo lolote ni lazima uumize kichwa kwa maana nyingine lazima ufikirie utatokaje, au utafanikiwa kivipi. Watu wengi sana ni wavivu wa kufikiri...
Read More
      edit

Thursday, October 5, 2017

Published 10/05/2017 06:12:00 AM by with 0 comment

HATA COMPUTER HAIZIDI AKILI ZAKO-1!

Ukimuuliza mtu kitu gani kina akili nyingi na zenye kufanya kazi zaidi ya computer utaambia hakuna zaidi yake. Kwa sababu computer inaendesha mashine, inatengeneza bunduki, inatengeneza mitambo, makombora, ndege na vitu vingi unavyoviona na kuvitumia kila siku. Lakini kwa nini nasema hata computer...
Read More
      edit

Thursday, September 28, 2017

Published 9/28/2017 09:05:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO: BOSI ANAMUACHA MKEWE CHUMBANI ANAKUJA KWANGU Mimi ni binti ambaye ninafanya kazi za ndani.Nilishangaa nimejikuta nampenda bosi wangu wa kiume bila yeye kujua lakini kumbe hata yeye ananipenda. Baadaye tuliamua kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi, kila siku usiku bosi anamuacha mkewe...
Read More
      edit

Friday, September 22, 2017

Published 9/22/2017 12:27:00 PM by with 0 comment

MCHUNGAJI ANANITAKA, ETI NIKIZINI NAYE MUNGU ATATENDA!

Habari ndugu, naomba ushauri wenu kuna mchungaji kijana anaisumbua na kunikosesha raha kwa kunisumbua eti niwe naye kimapenzi. Machungaji huyo anataka tukitane sehemu tulivu tuzungumze nikimwambia tuongelee kanisani anakataa. Eti ananiambia ana maono na mimi nikimkubali na kuzini naye Mungu atatenda....
Read More
      edit

Thursday, September 21, 2017

Published 9/21/2017 07:17:00 PM by with 0 comment

NATAMANI NITILIMIZE NDOTO ZANGU

Hongera Kwa Kazi Kaka Gabriel,,naomba Nikupongeze Kwa Kazi Nzuri Unayoifanya M&U Hasa Machapisho  Kwa Waliokata Tamaa Kabisa Ya Maisha,,binafsi Nilikata Tamaa Baada Ya Kupitia Mikasa Ya Majaribu Magumu Sana,,naamini Mungu Anakutumia Haswa Kuganga Mioyo Ya Watu,,ombi Langu Nisaidie Niyapate...
Read More
      edit

Wednesday, September 20, 2017

Published 9/20/2017 07:10:00 AM by with 0 comment

UNA KILA SABABU YA KUFURAHI BILA KUJALI MATATIZO ULIYONAYO

Wakati wewe unalia huna kazi ya maana basi kuna wengine hawana kabisa. Wakati wewe unalia kwa sababu mwenza wako kakuacha au mmeachana kuna wengine hata wadawa hawana. Wakati wewe unashinda kwa kula mlo mmoja  kuna mwingine anakula mlo mmoja kwa siku kadhaa. Wakati wewe una afya njema na mathubuti...
Read More
      edit
Published 9/20/2017 06:54:00 AM by with 0 comment

KAMA PENZI LIMEFIKA MWISHO KUBALI UKWELI!

Mwanamke mzuri, tabasamu murua, meno mazuri, meupe yaliyopangwa yakapangika. Kwa nini ukate tamaa kumalizia safari yako kwa sababu uliyekuwa naye safarini kashindwa kuimaliza safari yenu. Ahadi ni kufika mwisho kama yeye kashindwa Pambana na hali yako. Maisha yapo, komaa unaweza kuishi na kufanya...
Read More
      edit

Monday, September 18, 2017

Published 9/18/2017 07:33:00 AM by with 0 comment

SIRI YA FURAHA YANGU

Mume mwema mwenye mapenzi ya dhati ndiyo hasa anayenifanya nifurahi na kutabasamu maishani mwangu. Kwa ushauri jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano ...
Read More
      edit
Published 9/18/2017 07:30:00 AM by with 0 comment

SIKU HII NAKUMBUKI VIFO VYA WAZAZI WANGU

Kweli dunia ni tambara mbovu, siku hii nakimbuka vifo vya wazazi wangu ambao walifariki siku kama hii. Mungu nisimamie katika maisha yangu, kwani changamoto ni nyingi sana pekee yangu sitaweza. Kwa ushauri jiunge na Mi&u WhatsApp:0679979785 au tuffolow Insta:@mimi_na_uhusiano ...
Read More
      edit

Saturday, September 16, 2017

Published 9/16/2017 07:42:00 AM by with 0 comment

MITANDAO HAIJAMUACHA MTU SALAMA

USIKOSE KUSOMA MIKASA KWELI YA MITANDAO YA KIJAMII INAYOTOKEA KILA SIKU DUNIANI. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Read More
      edit
Published 9/16/2017 07:39:00 AM by with 0 comment

MWANAUME ATAKAYENIPENDA

Ipo siku nami nitapata mwanaume anayejua thamani ya penzi langu, mwanaume ambaye atanipenda kwa dhati, atakanijali, atanilinda na kuniheshimu. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Read More
      edit