
Najua nimefanya kitendo kibaya sana, lakini haikuwa akili yangu ni akili ya mapenzi, mimi ni msichana wa miaka 21 nina mpenzi
wangu ninayempenda na yeye ananipenda sana na anahitaji kunioa. TatIzo
lake ni kwamba kila nikipata mimba ananishauri nitoe mpaka sasa nishatoa
mimba zake 2.
Je, kwa...