Mimi ni binti nimeolewa yapata miezi 10
sasa niko kwenye ndoa, kuna kipindi naiona ndoa chungu na ninatamani hata kuachikakwanisina furaha ninapokuwa faragha na mume wangu kutokana na harufu kali ya pombe,
sigara na hata jasho la mume wangu.
Kuna wakati anamaliza hata siku 2 hajaoga, kwa kifupi ni mtu asiyejali usafi,
nimejaribu kumwambia anasema nisimpangie.
Naomba ushauri wadau nifanyeje?
Na:Timotheo Mjuni-M&U
Na:Timotheo Mjuni-M&U
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.