Wednesday, March 30, 2016

Published 3/30/2016 10:52:00 PM by with 0 comment

MPENZI WA ZAMANI KARUDI NIKIWA NIMEPATA MWINGINE




Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana ila mimi ndiyo nilimopenda zaidi baada ya muda tulipotezana  kimawasiliano baada ya muda wa kadhaa kupita nikaamua nikapata mpenzi mwingine ambaye naye nimetokea kumpenda sana  japo ni mkuda mfupi sana tangu tumekutana
Cha ajabu baada ya kuwa nimezama kwenye penzi jipya nikashtukia napata simu ngeni kwenye simu yangu sauti ikiwa ni ya yule mpenzi wangu wa zaman I ambaye nilimpenda pia, mpenzi wangu wa zamani akanimbia bado ananipenda sana na amenipata hayuko tayari kunipoteza kama mwanzoni, nifanye nini jamani niko njia panda nitafanyaje wakati nina mpenzi mwingine ambaye ananipenda.

Kwa Ushaur, habari, simulizi, machombezo na mikasa ya kweli ya MAPENZI tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com ,Insta:mimi_na_uhusiano au like Facebook page yetu ya Mimi na Uhusiano
Read More
      edit

Tuesday, March 29, 2016

Published 3/29/2016 07:09:00 PM by with 0 comment

USALITI WA MME WANGU UNAVYONITESA FARAGHA





Mimi ni mwanamke wa miaka 36, nina mme na watoto 3, sikuwahi kumjua mume mwingine zaidi ya huyu aliyeninitoa usichana wangu (bikra) na kunioa, sijawahi kumsaliti hata mara moja ila yeye kabla hajanioa aliwahi kuoa na kupata mtoto mmoja (kwangu atakuwa wa nje) ila baadaye aliachana na huyo mwanamke kwa talaka na wakati anamuacha kumbe yule mwanamke alikuwa mjamzito.

Baada ya muda alijifungua na mume wangu alikuwa akienda kimyakimya kwa mwanamke yule, niligundua na kumuuliza, akaniambia huwa anakwenda kumuangalia mtoto wake na si kingine, nikasema sawa hila hivi karibuni nimegundua ana mwanamke mwingine tena, roho ikaniuma sana kwani najitahidi kumfanyia kila anachostahili kama mwanaume lakini wapi, nampa penzi zuri kwa staili zote, nampikia chakula kizuri, nambembeleza lakini naona halidhiki, kiukweli imeniumiza na kuniathiri kisaikolojia.
Kuna siku alihisi kama nimegundua akanibembeleza na kuniomba msamaha kuwa hatorudia tena, nimemsamehe lakini tatizo linakuja pale tunapokuwa faragha, mimi huwa linaniijia tukio lile la mwanamke wake wa pili na kujikuta nikipoteza ladha ya penzi na kuanza kulia kwa uchungu wa kunisaliti, imefika mpaka kipindi sikojoi tena wakati awali alikua akinikojolesha mara kwa mara.

Kinachonishangaza akiwa kazini nakuwa na hamu naye na ashiki hunipanda sana, nikifanya naye mapenzi ya kwenye simu (kwa njia ya simu) naridhika kuliko akinifanya laivu. Unanishauri nifanyeje kwa tukio hili?.
 Na:M&U
Kwa Ushaur, habari, simulizi, machombezo na mikasa ya kweli ya MAPENZI tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com ,Insta:mimi_na_uhusiano au like Facebook page yetu ya Mimi na Uhusiano
Read More
      edit

Sunday, March 27, 2016

Published 3/27/2016 07:20:00 AM by with 0 comment

M&U TUNAWATAKIWA WADAU WETU HERI YA PASAKA NJEMA



Mpenzi msomaji Pasaka hii si kwa ajili ya KULEWA , KUZINI, KUPIGANA, KULAZWA SELO NA mengine, tafadhali pata muda wa kujithathimini maisha yako N UKARIBU WA MUNGU ukoje?
Usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com au Insta:mimi_na-uhusiano kwa USHAURI WA UHUSIANO.
Read More
      edit

Thursday, March 24, 2016

Published 3/24/2016 08:14:00 PM by with 0 comment

JE, HUJAWAHI KUFIKA, KUFIKISHWA KILELENI NA MPENZI WAKO?




Majibu ya swali hili yako yamegawanyika katika sehemu kuu 2. NDIYO na HAPANA, ni kweli, na ukweli wenyewe unaonesha kuwa asilimia kubwa ya wanawake wengi wanakubwa na tatizo hilo na kutokufika, kufikishwa au kutokujua utamu au raha ya penzi kutoka kwa wenza wao.

Huku sababu na mzigo mkubwa ya  tatizo hilo likiwaangukia kwa sehemu kubwa wanaume, na hii ni kwa sababu tu wao ndiyo watendaji wakubwa wa tendo hilo, ingawa kiuhalisia sio kweli, tendo hilo linahusisha jinsia mbili tofauti, na hata kiutendaji pia jinsia hizo zinapaswa kuwajibika na kushiriki kwa pamoja katika mtifuano huo.
Ni kweli wanaume wengi wamekuwa wakiitwa majina mabaya kuhusu kuonekana kutokuwa wataalamu wa majamboji wanapokuwa faragha huku wengine wengi wakilalamikiwa kutokuwafikisha au kuwakojolesha raha ya mapenzi, wapenzi wao, utasikia maneno na misemo mingi ya kusimangwa mwanaume, mara hoo, mwanaume suruali, mwanamume hawezi mambo, mimi wa nini!? Hana lolote yule, usharobaro mwingi kumbe hana chochote, yapo maneno mengi yenye dhihaka na kejeli kwa wapenzi wengi kukejeliwa na wa penzi wao.

Huku baadhi ya wanawake wakitumia madhaifu hayo kusaliti uhusiano wa uchumba au ndoa zao, eti kisa ni kutokutiwa vizuri. Unadhani ni sahihi? tuma maoni yako tafadhali, usikose sehemu ya pili ya mada hii.

kwa habari,mikasa, ushauri, simulizi na machombezo ya kweli ya mapenzi tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Insta:mimi_na_uhusiano au www.miminauhusiano.blogspot.com

Imeandaliwa na:M&U
Read More
      edit

Sunday, March 20, 2016

Published 3/20/2016 04:20:00 PM by with 0 comment

SIMU KUWA ONLINE IMEZUA UTATA KWA WAPENZI!







Mwenzenu nina matatizo mpenzi wangu kaniambia tuachane kisa hataki mimi nichat na wala simu yangu isiwe bize hata kidogo, akinikuta niko Online inakuwa kesi lakini wakati huo yeye anakuwa yuko Online ana anachart muda wote, nimejaribu kujishusha hatakii, meniambia nitafute mwanaume mwingine. Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Kujua majibu yake tembelea Insta:mimi_na_uhusiano
kwa ishu ya mpenzi wakokukukataza kwa bize na simu ni sawa lakini si swa kwasababu napaswa ajue nikitu gani kinachokufanya uwe bize inawezekana unafanya biashara online, kiukweli jamaa ni kama mshamba flani huwezi kumkatalia mwenzio kuwa bize na simu yake wakati huo wewe pia unakuwa uko bize, hilo ni jipu ni kaumimi f'lani ambako wanako baadhi ya wanaume, ni kama muendelezo wa mfumo dume, kama hapendi uwe bize basi aoneshe mfano kwanza yeye mwenyewe kwa kupunguza ubize.


Unaweza kukuta jamaa analazimisha usiwe hewani wakati huo hata bei na mwaka wa siku kununuliwa hajui, huu si ujinga jamani na kwa kisingizo hicho jamaa anaonekana anatafuta njia ya kukwepa majukumu kwa mpenzi wake au anataka kujinanusa katika penzi hilo, kimsingi nikuwa makini na huyo jamaa hana upendo wa dhati, hata VITABU VITAKATIVU vinataja UASHERATI ndiyo kosa kubwa kwa wapenzi tena walio katika ndoa na sio kuwa online muda wote. 

Lakini kama ni mke na mume basi unapaswa ukae chini na mwenza wako na mlizungumze hilo suala kwani nimewai kuandika makala moja inasema;KWANINI MITANDAO YA KIJAMII IHARIBU UHUSIANO WAKO? Nikizungumzia kuwa ubize wa mwanaume au mwanamke kwenye mitandao unawezakufanya ukabaribu penzi lenu. JUMAPILI NJEMA.
Read More
      edit

Saturday, March 5, 2016

Published 3/05/2016 07:34:00 AM by with 0 comment

BAYO NA IMBORI

JIONI USIKOSE MUENDELEZO WA HADITHI HII TAMU NA YENYE MAFUNZO
Read More
      edit
Published 3/05/2016 07:09:00 AM by with 0 comment

HABARI ZA MAGAZETI LEO MACHI, 5/2016


































Read More
      edit