Majibu ya swali hili
yako yamegawanyika katika sehemu kuu 2. NDIYO na HAPANA, ni kweli, na ukweli
wenyewe unaonesha kuwa asilimia kubwa ya wanawake wengi wanakubwa na tatizo
hilo na kutokufika, kufikishwa au kutokujua utamu au raha ya penzi kutoka kwa
wenza wao.
Huku sababu na mzigo
mkubwa ya tatizo hilo likiwaangukia kwa
sehemu kubwa wanaume, na hii ni kwa sababu tu wao ndiyo watendaji wakubwa wa
tendo hilo, ingawa kiuhalisia sio kweli, tendo hilo linahusisha jinsia mbili
tofauti, na hata kiutendaji pia jinsia hizo zinapaswa kuwajibika na kushiriki kwa
pamoja katika mtifuano huo.
Ni kweli wanaume
wengi wamekuwa wakiitwa majina mabaya kuhusu kuonekana kutokuwa wataalamu wa
majamboji wanapokuwa faragha huku wengine wengi wakilalamikiwa kutokuwafikisha
au kuwakojolesha raha ya mapenzi, wapenzi wao, utasikia maneno na misemo mingi
ya kusimangwa mwanaume, mara hoo, mwanaume suruali, mwanamume hawezi mambo,
mimi wa nini!? Hana lolote yule, usharobaro mwingi kumbe hana chochote, yapo
maneno mengi yenye dhihaka na kejeli kwa wapenzi wengi kukejeliwa na wa penzi
wao.
Huku baadhi ya
wanawake wakitumia madhaifu hayo kusaliti uhusiano wa uchumba au ndoa zao, eti
kisa ni kutokutiwa vizuri. Unadhani ni sahihi? tuma maoni yako tafadhali,
usikose sehemu ya pili ya mada hii.
kwa habari,mikasa,
ushauri, simulizi na machombezo ya kweli ya mapenzi tembelea ukurasa wetu wa Mimi
na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, Insta:mimi_na_uhusiano au www.miminauhusiano.blogspot.com
Imeandaliwa na:M&U
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.