Wednesday, March 30, 2016

Published 3/30/2016 10:52:00 PM by with 0 comment

MPENZI WA ZAMANI KARUDI NIKIWA NIMEPATA MWINGINE




Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana ila mimi ndiyo nilimopenda zaidi baada ya muda tulipotezana  kimawasiliano baada ya muda wa kadhaa kupita nikaamua nikapata mpenzi mwingine ambaye naye nimetokea kumpenda sana  japo ni mkuda mfupi sana tangu tumekutana
Cha ajabu baada ya kuwa nimezama kwenye penzi jipya nikashtukia napata simu ngeni kwenye simu yangu sauti ikiwa ni ya yule mpenzi wangu wa zaman I ambaye nilimpenda pia, mpenzi wangu wa zamani akanimbia bado ananipenda sana na amenipata hayuko tayari kunipoteza kama mwanzoni, nifanye nini jamani niko njia panda nitafanyaje wakati nina mpenzi mwingine ambaye ananipenda.

Kwa Ushaur, habari, simulizi, machombezo na mikasa ya kweli ya MAPENZI tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com ,Insta:mimi_na_uhusiano au like Facebook page yetu ya Mimi na Uhusiano
      edit

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.