Mwenzenu nina matatizo mpenzi wangu kaniambia
tuachane kisa hataki mimi nichat na wala simu yangu isiwe bize hata kidogo,
akinikuta niko Online inakuwa kesi lakini wakati huo yeye anakuwa yuko Online
ana anachart muda wote, nimejaribu kujishusha hatakii, meniambia nitafute mwanaume
mwingine. Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Kujua majibu yake tembelea Insta:mimi_na_uhusiano
kwa ishu ya mpenzi wakokukukataza kwa bize na
simu ni sawa lakini si swa kwasababu napaswa ajue nikitu gani kinachokufanya
uwe bize inawezekana unafanya biashara online, kiukweli jamaa ni kama mshamba
flani huwezi kumkatalia mwenzio kuwa bize na simu yake wakati huo wewe pia unakuwa
uko bize, hilo ni jipu ni kaumimi f'lani ambako wanako baadhi ya wanaume, ni
kama muendelezo wa mfumo dume, kama hapendi uwe bize basi aoneshe mfano kwanza yeye
mwenyewe kwa kupunguza ubize.
Unaweza kukuta jamaa analazimisha usiwe hewani
wakati huo hata bei na mwaka wa siku kununuliwa hajui, huu si ujinga jamani na
kwa kisingizo hicho jamaa anaonekana anatafuta njia ya kukwepa majukumu kwa
mpenzi wake au anataka kujinanusa katika penzi hilo, kimsingi nikuwa makini na
huyo jamaa hana upendo wa dhati, hata VITABU VITAKATIVU vinataja UASHERATI ndiyo
kosa kubwa kwa wapenzi tena walio katika ndoa na sio kuwa online muda wote.
Lakini kama ni mke na mume basi unapaswa ukae
chini na mwenza wako na mlizungumze hilo suala kwani nimewai kuandika makala
moja inasema;KWANINI MITANDAO YA KIJAMII IHARIBU UHUSIANO WAKO? Nikizungumzia
kuwa ubize wa mwanaume au mwanamke kwenye mitandao unawezakufanya ukabaribu
penzi lenu. JUMAPILI NJEMA.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.