Nilianza kuishi na mwanamke ambaye nilimpenda mwaka 2001' hatimaye Mungu akatujalia kupata watoto wawili. Mimi nikiwa ni mfanyabiashara wa mchele yeye akiwa ni mama wa nyumbani.
Juzi tu mke wangu kabadilika, kaondoka kwangu kaenda kuuza baa. Kila nikimuuliza tatizo haniambii zaidi ya kusema yeye na mimi sasa basi.
Naombeni ushauri wenu kwani bado nampendake wangu, pamoja na kwamba hatujafunga ndoa.
#Mi&U @mimi_na_uhusiano
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.