Mimi ni
mwanamke mwenye miaka 25, ni mrembo niliyejaliwa umbo zuri sana na Mwenyezi
Mungu, kwa sasa sina mpenzi ila kuna kijana mmoja mtaani kwetu nimetokea
kumpenda ingawa nahisi kijana huyo hafahamu kama mimi nishamzimikia kitambo, na
kama ikitokea leo akaniambia kuhusu mapenzi ni sawa na kumpiga teke chura au kumsukuma mlevi.
Naomba ushauri
wenu, hivi mwanamke anaruhusiwa kumtongoza mwanaume anayempenda?
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.