Mimi ni msichana mzuri mwenye miaka 23, najikubali kwa figa nzuri niliyojaliwa na Mungu, kwa kifupi ni msichana mrembo kabisa, kama ungepata nafasi ya kukutana na mimi ungekubaliana dhahiri na maneno nayoyesa. Tatizo langu sijui ni nini ? Mpaka sasa nimekwisha achwa na wanaume 4 tofauti. Najaribu Kujiuliza nini kasoro yangu? au NINA NUKSI? naomba ushauri wako WANAM&U
Usikose kutembelea www.miminauhusiano.blogspot.com
Na Thimothe Mjuni:M&U
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.