Jibu: Kwa Mkristo,
kuchumbia mtu ambaye si Mkristo sio jambo la busara, na kuoa mmoja sio njia
mbadala. Pili 2 Wakorintho 6:14 inatuambia kuwa, “msifungiwe nira pamoja na
wasio amini.” Taswira ni ya viumbe wawili ambao hawaambatani wakishiriki nira
moja. Badala ya kufanya kazi pamoja, kuvuta pamoja, watakuwa wakizozana.
Huku
ufahamu huu hautaji ndoa moja kwa moja, uko na mchango kwa ndoa. Ufahamu huu
unaendelea na kusema kuwa, hakuna upatano wowote kati ya Kristo na Berieli
(Shetani). Hakutakuwa na umoja wa Kiroho katika ndoa ambayo ni kati ya Mkristo
na mtu ambaye si Mkristo.
Paulo anaendelea kwa kukumbusha Wakristo kuwa wao ni
Hekalu la Mungu ambayo Roho Mtakatifu hukaa, ambaye anazichukua mioyo yao
wakati wa wokovu ( 2 Wakorintho 6:15-17). Kwa sababu ya hiyo, wanastahili
kutenganishwa na ulimwengu- katika ulimwengu bali sio kutoka kwa ulimwengu-na
hakuna mahali katika maisha hiyo ni muhimu mbali na uhusiano wa ndoa.
Bibilia pia yasema, “Msidanganyike; Mazungumuzo mabaya huharibu tabia njema’ (1 Wakorintho 15:33). Kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi na mtu asiyeamini, anaweza badilika kwa haraka na kuwa kitu kingine ambacho ni kikwazo kwa safari yako na Kristo. Tumeitwa kuwahubiria injili wenye wamepotea, sio kuwa na uhusiano wa kimapenzi nao. Hakuna ubaya wowote kwa kujenga urafiki na mtu ambaye si Mkristo, lakini huo ndio umbali wastahili kufika.

Kama ulikua
unachumbiana na mtu asiyeokoka, kipaumbele chako cha kwanza kitakuwa, mapenzi
au kumleta huyo mtu kwa Kristo? Ikiwa ulikuwa umeolewa kwa mtu ambaye si Mkristo,
wawili wenu mtautunzaje wokovu wenu katika ndoa yenu?
Ni namna gani ndoa nzuri
inaweza jengwa na kutunzwa ikiwa mmekosa kukubaliana katika mambo muhimu katika
ulimwengu huu kama Bwana Yesu Kristo?
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.