Habari zenu! mimi ni binti moja ya tatizo linalonisumbua ni kupata vipele pamoja na kuvimba sehemu sa siri mara baada ya kumaliza kunyoa, tatizo hili linasababishwa na nini? Usikose habari za uhusiano kupitia www.miminauhusiano.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.