Mwenyezi Mungu
asante kwa Jumamosi hii. Ninakushuruku kwa kila jambo katika maisha yangu.
Nakuomba Allah unipunguzie machungu ya changamoto za maisha, magonjwa, maumivu
ya mapenzi, madeni, misiba, ajali N.K
Kwa ushauri wa mahusiano, hadithi za
mapenzi, machombezo, mikasa ya kweli ya mapenzi na ujasiriamali.
Jiunge na M&U WhatsApp na M&U SMS
kupitia 0679979785 au tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com,
Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye
Mtandao wa Kijamii wa Facebook.
Na:M&U