Saturday, March 25, 2017

Published 3/25/2017 12:00:00 PM by

NIMEMKODISHA VITI VYA SHUGHULI HADI LEO HAJARUDISHA!



Mimi ni mfanyabiashara, nimekuwa nikikodisha viti, na vyombo kwa ajili ya sherehe na matukio mbalimbali kama harusi, msiba, kipaimara, N.K.

 
Juzi kati alikuja kijana mmoja wa mtaani akakodi viti kwa ajili ya sherehe ya mdogo wake, akanilipa pesa ya siku tatu. Lakini baada ya siku tatu kupita hakurudisha nikampigia simu akasema atarudisha, hadi sasa ni miezi mitatu inatimia! Jana nilimpigia simu hakupokea, nilipompigia tena simu yake ilikuwa haipatikani.Ungekuwa ni wewe ungechukua hatua zipi?

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U


      edit