Naitwa Mwainola naishi Kigoma Ujiji, nilibahatika kuolewa na mpenzi
wangu ambaye kwa sasa ndoa yetu ina miaka miwili.
Nampenda sana mume wangu, namuheshimu na kumjalia lakini kila nikipata
ujauzito wake, mume wangu ananiambia nikatoe.
Nimejaribu kumwambia kama hapendi mimba basi tuwe tunatumia kinga lakini
mwenzangu hataki, anakuwa mkali, hapa nilipo nina mimba ya mwezi mmoja lakini
ananilazimisha nikatoe.
Hadi sasa nimeisha toa mimba mbili kama nah ii nikitoa ni ya tatu sasa,nimegombana
nae kweli na nimelazimisha sana lakini anang'an'gania tu nitoe.
Naumia sana lakini pia najiuliza nini chanzo cha yeye kukataa kuzaa na
mimi?
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba,
Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na
M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U