Naitwa Maria mkazi wa Tunduma,, nimeolewa yapata mwaka mmoja sasa, ndoa yangu ni yenye furaha kwa kuitazama kwa juu juu lakini ndani yangu ni mateso makubwa sana.
Najiuliza ni nini hasa ambacho nimemkosea mume wangu kwani tangu anioe
hajawahi kula chakula changu.
Nimekuwa nikimuandalia
chakula lakini akirudi usiku anasema ameshiba, naumia sana, najiuliza ni nini
hasa ambacho mume wangu nimemfanyia au anahisi kwangu au aniamini!!
Mchana ni kweli atakuwa
anakuka kazini kwake, vipi kuhusu usiku anakula wapi au kuna sehemu anapitia
anakuka ndipo anarudi nyumbani?
Naomba ushauri wako
usomapo ujumbe huu.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba,
Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na
M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U