Najuta sana kuolewa na mwanaume huyu, sijui ni nini ambacho kimempata
mume wangu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 28, nina mtoto mmoja.
Huyu mwanaume wakati ananiona nilikuwa najua anakunywa ila sikuwahi
kujua kama anakunywa kiasi hiki kwani amekuwa kero sana kwatika maisha yangu.
Akitoka kazini anapitilizia kwenye pombe na nyumbani aachi pesa ya
matumizi, nikimuuliza anakuwa mkali!
Ungekuwa wewe ndiyo mimi au shemeji yako ungefanyaje?
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba,
Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na
M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U