Naitwa Halima naishi Tanga na mama yangu mzazi ambaye ni kama ana
mashwetwani. Kila Iikifika usiku mama huwa anapandisha mashetwani yake.
Na mashetwani hayo yakipanda mama ananifukuza nyumbani kwa madai kuwa
nyumba hiyo ina matatizo.
Kinachonishangaza ikifika asubuhi nikimuuliza mama anasema ajui kitu
chochote kilichotokea au alichozungumza.
Nimezunguka kwa waviongozi wa
dini na wengine wakaja nyumbani kumuombea lakini wapi, hali bado ni ile ile? Naishi kwa mateso sana, naombeni ushauri wenu.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U