Saturday, March 4, 2017

Published 3/04/2017 12:33:00 PM by

MPENZI WANGU ANA MICHEPUKO KIBAO, KUMUACHA SIWEZI!



Naitwa Zuhura nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwa miaka miwili lakini jamaa anamichepuko kibao, nimejaribu kumshauri, kumueleza kuhusu mimi kuchukizwa na tabia hiyo hanielewi.


Nimediriki hata kushitaki kwa wazazi wake imeshindikana, nifanyeje na mimi kumuacha siwezi, nampenda sana.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit