Thursday, March 30, 2017

Published 3/30/2017 12:00:00 PM by

NIKITAKA KUSAFIRI MKE WANGU ANANIFUNGASHIA KONDOMU




Mimi ni mwanaume ambaye nimeoa hivi karibuni, ila kutokana na majukumu ya kazi zangu nimekuwa nikisafiri mara kwa mara.


Kila ninapotaka kusafiri nimekuwa na tabia ya kumuaga mke wangu , ananiandaalia vifaa na vitu vya kutumia nikiwa safarini. Kwa mara ya kwanza alinoniandaliwa nilishangaaa na kustuka sana baada ya kufika safari yangu na kuanza kukagua begi langu cha ajabu nikakuta kinga (kondom).

 Nilijiuliza sana ni nani kaiweka na kwa dhumuni gani? Awamu ya pili hivyo hivyo nikagundua kuwa mke wangu amekuwa akiniweka?

Nini tafasili ya tabia hyake hiyo, na nini anachokihisi kwangu? Je, ungekuwa wewe ndiyo mimi ungezitumia zile kondomu au ?

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa

Na.M&U
      edit