Wednesday, September 28, 2016

Published 9/28/2016 12:23:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO

USHAURI WAKO: MPENZI WANGU ANAPENDA SANA MAZOEA NA WANAWAKE WENGINE Mimi ni binti ambaye nina uhusiano na mkaka mmoja hivi ila tabia yake imenichosha sana kwani anapenda sana kucheza na kutaniana na wanawake wengine. Kwa ushauri, makala za mahaba, mikasa na ujasiriamali jiunge na M&U WhatsApp...
Read More
      edit

Tuesday, September 27, 2016

Published 9/27/2016 05:44:00 PM by with 0 comment

MAHABA LEO USIKU

MADA YA LEO USIKU M&U SIYO KILA UHUSIANO NI WA NDOA MWINGINE NI WA KUBANJUKIANA! Kujua uko kwenye UHUSIANO gani jiunge na M&U WhatsApp kwa Na. 0657486745 au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook kwa mada za MAHABA, USHAURI, CHOMBEZO, HADITHI, MIJADALA...
Read More
      edit
Published 9/27/2016 12:04:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO

NATAMANI KUACHIKA KWA SABABU YA UGOMVI WA MUME WANGU. Mimi ni binti ambaye niko kwenye uhusiano lakini kila siku uhusiano wangu umekuwa ni wa kulumbana, kupigana na mume wangu. Natamani kuachika kwani nimejaribu sana kujishusha naona imeshindikana ni kama naumia. Kwa mikasa ya kweli ya mapenzi, ushauri,...
Read More
      edit

Monday, September 26, 2016

Published 9/26/2016 12:27:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO

MUME WANGU HALALI NDANI NAPOKUWA KAZINI! Mimi ni mama wa familia ninaishi na mume pamoja na watoto wangu. Kutokana na majukumu ya kazi zangu kuna wakati nabadilisha zamu na kuingia usiku. Lakini nilikuja kuhisi kuwa mume wangu amekuwa halali ndani pindi ninapokuwa zamu ya usiku, nikaamua kuweka mtego...
Read More
      edit
Published 9/26/2016 09:56:00 AM by with 0 comment

HABARI ZA MAGAZETINI SEPT 26, 2016

...
Read More
      edit

Sunday, September 25, 2016

Published 9/25/2016 03:56:00 PM by with 0 comment

MJADALA WA LEO M&U

Kusubiri utajirike au upate kazi nzuri ndiyo uolewe ni sawa! ...
Read More
      edit

Saturday, September 24, 2016

Published 9/24/2016 12:23:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO

USHAURI WAKO: MUME WANGU ATAKI NIKASALIMIE KWETU Nashukuru Mungu kwa kunipa mume mwema ila kweli nimeamini kuwa kila binadamu ana mapungufu yake, pamoja na mume wangu kunipenda na kunijali vivyo hivyo mimi. Lakini kina ninapomwambia mume wangu kuwa naomba nisafiri ili nikawasalimu ndugu zangu ana kataa...
Read More
      edit

Friday, September 23, 2016

Published 9/23/2016 10:10:00 AM by with 0 comment

Wastara, Bond Mapenzi Upyaa!

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
Read More
      edit
Published 9/23/2016 10:03:00 AM by with 0 comment

HABARI MAGAZETINI 23, 2016

...
Read More
      edit