NATAMANI KUACHIKA KWA SABABU YA UGOMVI WA MUME WANGU.
Mimi ni binti ambaye niko kwenye uhusiano lakini kila siku uhusiano wangu umekuwa ni wa kulumbana, kupigana na mume wangu.
Natamani kuachika kwani nimejaribu sana kujishusha naona imeshindikana ni kama naumia.
Kwa mikasa ya kweli ya mapenzi, ushauri, machombezo, hadithi na ujasiriamali jiunge na M&U WhatsApp kwa Na. 0657486745 Kupata mada kila siku.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.