
"Kwa tabia yako ya kuzila
na kupotezea wakati mwingine inaweza ikakugharimu sana, kikubwa ni kupigana na
kuwa na Imani kuwa kama kweli mwanaume au mwanamke huyo alizaliwa kuwa wako
basi amini atakuwa wako hata kama ni kwa miaka ishirini ijayo kuna msemo usemao
KAMA IPO, IPO TU, basi jiamini...
Read More