Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson
Maimu na viongozi wengine nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika
mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema leo.Habari zaidi tutawaletea.
Mnamo mwezi
January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya
vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na
wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha
shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa
wakati bado kuna malalamiko kwamba watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo. .
Usikose kuhudhuria Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U). Mada Kuu: “KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA MAPENZI.” Itakayofanyika Agosti, 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Malaika Hall, Kijitonyama. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Facebook au tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.